MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Katika watanzania waliofanya vizuri ni DK Charles Kimei.Kwa uwezo wake mkubwa wa kuibadilisha benki ya CRDB iliyokuwa chumba cha maiti na kuifanya iwe benki bora yenye matawi ndani na nje ya nchi.
Ni CEO ambaye kaonyesha kuwa haogopi ushindani na aweza shindana kibiashara ya kibenki na benki yoyote iwe ya ndani au nje ndani na nje ya nchi.
Ameijengea hadhi CRDB na kuifanya benki bora mbele za wananchi wengi ambao zamani ukitaja CRDB watu wangeuliza ndio mdudu gani huyo
Hongera yake , hata mimi Kimei nina mkubali sana kwa ni Mangi anayejua nini maana ya kuwa ceo.
Last edited by a moderator: