Dk. Charles Kimei apewe nishani ya kitaifa

Hongera made Kimei.

Unastahili kuwa Gavana na ninadhani wewe ndiye gavana ajaye.

Tatizo ni ukabila CRDB katika ajira, wamejaa Chagas tupu

MAMBO MENGINE MKO VIZURI SANA
 
Jamaa ni mdini sana, hafai kwa Tanzania yetu isiyo na dini

Kimei ni mdini sana, bila msalaba hupati kazi

Ametisha kwa kuendekeza udini

Tatizo lake ameendekeza sana udini

Mko wangapi hapo maendeleo wenye sigda

Tatizo lake mdini sana

Huwa mambo yanaharibika mdogo mdogo hivi hivi maana itafika wakati unaita watu kwenye interview kwa kuangalia dini kama umeita 10 unaweka vigezo waislamu 5 na wakristo 5 alafu mnakuja kwenye nafasi 6 zinazotakiwa wakristo 3 waislamu 3 alafu mnakuja kwenye panel team kama mpo 6 mnasema wawepo wakristo 3 na wakristo 3 ili kuwe na fairness alafu mwisho wa siku udini ndio unashika kasi.

Mbona hizi issue kwenye mitandao zinazungumziwa sana lakini kwenye maisha yetu huku uswahilini tunajichanganya n hata hatuulizani dini gani, kikubwa ni kuangalia hao walioajiriwa wana deserve hizo nafasi. Tunatoka kwenye issue ya ku-balance gender na kuhamia kwenye vigezo vya dini tena sijui itakuaje tukifikia hapo kila mtu kwenye CV inabidi aweke kipengele cha dini
 
Tatizo ni wakristo, taasisi karibu zote wamejaa wao lakini husikii Muislam akilalamika...! Imekuwa nssf kuongozwa na Muislam basi wote ooooo udini udini...

Wameyafukua wao tunalazimika kujibu mapigo
 
May be Muslims are second class citizens
 
Tatizo ni wakristo, taasisi karibu zote wamejaa wao lakini husikii Muislam akilalamika...! Imekuwa nssf kuongozwa na Muislam basi wote ooooo udini udini...

Wameyafukua wao tunalazimika kujibu mapigo

Hamna vigezo vya kuwa huko
 
Back
Top Bottom