Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Mkuu kupewa BAN si kazi ngumu muhusika akiamua. Ni kubonyeza kitufe cha Abuse au kuandikia admin na wao bila kusita watakupa BAN. Au unataka nijaribu kwa ile post yake uone ilivyo? Ili mradi umekuwa mstaarabu kutambua, wacha tuendelee.
Iko hivi Omari Juma hakuwa Mzururaji kama huyu Balali sorry Bilali.
Mohamed Shain hatukumuona.
Niaje huyu Babu anakata mbuga usiku na mchana tena kwa muda mrefu tu amekomaa na sasa kishaanza kukubalika?
Haahaa, huyu ana 'talent ileile' ya ki-zwangendaba. Mkimpa na.1 ataachana na uzwangendaba ataanza kumpiku vasco da gama! Nyie wa tz mmerogwa nn na ni nani aliyewaroga? Eti bilal ' presidential material' What a **** like ths?