Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Kama Makamu wa Muungano ni mkubwa kuliko Rais wa Zanzibar ilikuaje Dr. Shein akaenda kugombea Urais Zanzibar wakati alikua Makamu wa Mkapa na JK kwa awamu ya kwanza?
Mkuu, tukiacha ushabiki wa kisiasa kati ya Tanganyika na Zanzibar, Makamu wa Rais wa JMT ndiyo mkubwa. UN wanaijua Tanzania kama nchi na Zanzibar ni sehemu yake.
Rais wa Zanzibar anaweza kuhutubia Baraza la UN kwa kumuwakilisha Rais wa JMT tu na si kama Rais wa Zanzibar. Labda DR Shein aliacha U Makamu wa JMT kwa matarajio yakuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa JMT kwa katiba ya mzee wa vijisenti.