Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

Za darasani nazo zilishayeyuka maana zingekuwa bado zipo angeweza kugundua hila za huyu mbaya wake mwenye digrii moja

Daktari wa falsafa katika Fizikia ya Nyuklia. Hakuweza kutoa machapisho ya kutosha kufikia angalau ngazi ya profesa mshiriki. Muda wote huu aliotoka nje ya taaluma (tangu anyofolewe na kuwa katibu wa Wizara) Sasa HAWEZI kuhimili mikiki mikiki ya kitaaluma. Ajipumzikie kwa amani.
 
Back
Top Bottom