mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,322
- 56,058
Huyu jamaa almanusura awe rais wa Zanzibar mwaka 2010, kwani kule kwao Zanzibar alikuwa ana nyota kama ya Lowassa. Akaingizwa mkenge na JK, akasema mpishe Shein, njoo huku bara uwe makamu wa rais, cheo ambacho kinadharia ni kikubwa kuliko rais wa Zanzibar japo kiuhalisia haiko hivyo.
Bilal akaona huo ndio mwanzo wa kuwa rais wa Muungano, kilichompata kila mtu anajua. Nafasi za juu zote zimejaa, si Zanzibar wala Muungano. Labda arudi chuo kufundisha, pole Bilal.
Bilal akaona huo ndio mwanzo wa kuwa rais wa Muungano, kilichompata kila mtu anajua. Nafasi za juu zote zimejaa, si Zanzibar wala Muungano. Labda arudi chuo kufundisha, pole Bilal.