Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

Mkuu, tukiacha ushabiki wa kisiasa kati ya Tanganyika na Zanzibar, Makamu wa Rais wa JMT ndiyo mkubwa. UN wanaijua Tanzania kama nchi na Zanzibar ni sehemu yake.

Rais wa Zanzibar anaweza kuhutubia Baraza la UN kwa kumuwakilisha Rais wa JMT tu na si kama Rais wa Zanzibar. Labda DR Shein aliacha U Makamu wa JMT kwa matarajio yakuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa JMT kwa katiba ya mzee wa vijisenti.
Zamani siku hizi ni State mkuu ni chi ndani ya nchi na imejipa madaraka kama nchi na kuwenza kuikanyaga katiba mama ya JMT na wakuu wa JMT wameufyata jamaa walijifanyia maamzi yao huko kimya kimya kuja kusituka wameisha pitisha kutaka kuwarudisha wakajajuu CCM ikataka kukatika wakasema ni bora CUF ikae madarakani wakasema haya basi tutaweka kamati!lakini hadi leo Wimbo,bendera vyote vyao na sasa hata jeshi walitaka kuwa na Jeshi lao hilo limeshindikana maana Jeshi lilikataa katu katu!
 
Dr bilal alikuwa ananguvu sana ccm upande wa zanzibar na alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda kwenye kura za maoni.ila tatizo lake ni kwamba alikuwa anasapoti muundo wa serekali tatu.ndo maana wakampa umakamu wa raisi bara ili kumpooza..its not personal,just bussiness

Haha haha hahaaaaa umenikumbusha ya CEO wa WWE kwamba "what is best for business "
 
The guy is really old. in short hachaguliki
 
Yaani na midigrii yote migumu bado akaingizwa king na Jakaya daaaah

Unafikiri Jakaya anapata PhD za bure? Ni bingwa na mtaalamu wa chenga kama hizi.
Alituahidi maisha bora-akatula chenga, Katiba mpya-chenga, Kigoma kama Dubai-chenga, Mwanza kama Califonia-chenga, alikuwa na jina la Rais mfukoni, jamaa kaliwa chenga hata ubunge hataki!
 
Unafikiri Jakaya anapata PhD za bure? Ni bingwa na mtaalamu wa chenga kama hizi.
Alituahidi maisha bora-akatula chenga, Katiba mpya-chenga, Kigoma kama Dubai-chenga, Mwanza kama Califonia-chenga, alikuwa na jina la Rais mfukoni, jamaa kaliwa chenga hata ubunge hataki!

Wachina wakaona PhD zimekuwa nyingi, sasa bora wampe Uprofeseri !
 
dah watu matapeli kwaiyo huyu mzee kaingizwa mjini kweupee
Wewe dogo umeshiba viroba sio bure, unashawishika na mvuta bangi mwenzio aloandika ujinga hapo juu afu na wewe ulivyo kilaza unaunga mkono hoja hiyo, we mende kweli
 
mdukuzi

Acha kupotosha umma wewe mende msaliti. Umeandika uozo mtupu hapo
 
Last edited by a moderator:
Bilal hakuwahi kua chaguo la Kikwete ,hata huo umakamu ilibidi wazee waingilie Kati ,JK chaguo lake ilikua Zakia Me........
 
Angalau Bilal, Pinda na Mwandosya wangeingia tano bora halafu waondolewe kwa kura. Maadam hilo halijafanyika, ni dosari kubwa sana.

Kwanini iwe lazima wao kuingia 5 bora, je kanuni zinasema hivyo?
 
Back
Top Bottom