Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

Na yeye alikatwa jina na kamati ya maadili chini ya m/kiti jk. Hayo ndio mambo ya mkwere bana.
 
Kamati ya Maadili inaongoza kwa kukosa maadili ... JK ibin ESCROW ibin Richmond, ... Mkapa Ibin EPA ibin Mikataba ya Madini Ibin NBC ... Mwinyi ibin Loliondo ... Clearly walikuwa wanamgwaya sana Lowassa kuwa atafuta mikataba yote ya kishenzi ... Mazuzu tu ndo wanaona sawa ...
Ghalib Bilal kama Pinda, hawana maadili ndio maana WALIKATWA TU kwenye ngazi ya kamati ya maadili na Usalama. Hawachekani na Lowassa!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
JK ni mtoto wa mjini anajua kucheza na akili za watu na fitina anaiweza kweli kwel,maskini bilali urais ndio basi tena coz after 5years tunatarajia mzee wa watu atakua keshachoka saaanaaa hivyo hatoweza kugombea tena!
JK ni mutoto ya mjini hasa ila mi naona ndani ya miaka michache tutapoteza viongozi wengi wa ngazi za juu kwa magonjwa ya moyo na mashinikizo ya damu we imagine future ya watu unahiaribu huku unacheka
 
ENL should be counted !
 
Bilali angechukua fomu tu naona kokita shein tu kasimama yeye pekee si usengerema huu jamani au mnaonaje ndg zangu
 
Mwacheni astaafu JK mnamuonea bure kama Dr. Bilal shavu alilopata kashindwa mwenyewe kutembelea kucha yuko kawaida mno na TZ inataka mtu mwenye amsha amsha.Magufuli amefaa Zaidi kuliko wote.
 
Hiyo sio CCM ya Nyerere Wenye Chama wamemkata hata Mtoto wake itakuwa Makamu chezea ccm family wewe
 
mdukuzi

Hivi kamw hali ilivyo sasa anaweza kuwa nani tena kusiasa? Namsikitikia sana kwa vile ni very inteligent.
 
Last edited by a moderator:
Hivi watu mlitaka asimamishwe nani? manake kila mtu anamlaumu JK, wakati nafasi ni moja tu!! kila mtu anaita, si balal, lowasa, membe wala pinda

Mnamaana aliyesimamishwa hafai?

alipaswa kuwaambia hao uliowaorodhesha kuwa nao wajidai wamechoka siasa wanataka kustaafu kuliko kuwaacha wajidhalilishe kwenye majukwaa na wake zao wanataka urais huku akijua hawawezi kuwa.nikiwa na maana mpango wa kumpitisha magufuli haukuwa wa wiki moja au siku 2 bali ni lazima ulikuwa ukijulikana kwa miezi kadhaa na system kuu ya ccm.
 
Lakini si mliambiwa na Makongoro udhaifu wa JK kwa marafiki? Ila tuache ushabiki ni ngumu sana kwa JK kuwaambia 'HAPANA' hata kama walimuuliza kwani ni haki yao ya kidemokrasia. Isitoshe JK hafanyi maamuzi peke yake. Mbona Sumaye naye alikosaga vile vile na safari hii kakosa tena.
Binafsi nawalaumu wenyewe kina Pinda na Bilal kwa kushindwa kwao kumsoma JK pamoja na kuwa naye karibu muda wote huo.
 
Back
Top Bottom