Dk. Batilda kapoteza mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Batilda kapoteza mtoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamabadiliko, Nov 2, 2010.

 1. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 348
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  jamani kuna tetesi kuwa mimba ya dk.buriani batilda ambayo baba wa hiyo mimba hajulikani imeharibika kutokana na stress za uchaguzi baada ya kubwagwa na mh.lema ktk jimbo la arushaa. habari hizi nimezipata kwa mtoto wa mdogo wake anayesoma udom. masikini burianiiiiiiiiiiiii:israel::peep::cool:
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,453
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Hii habari ina hadhi ya kukaa hapa kweli?:A S angry:
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Kama kweli awe mvumilivu watu ndo wameamua.
  Pole mama matilda ndo ukubwa huo
   
 4. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haina hadhi ya kukaa hapa. Hii ni Forum ya matokeo na si matukio.
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,857
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  JUKWAA NILA TETESI MZEE, mzee unakurupuka kwenye majukwaa usiyoyajua, labda zungumzia kama habari inavunja hadhi ya mtu, ila hapa ni mahala pake hasa.
   
 6. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,837
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Mpuuzi huyu mama. Kwa nini alivalia njuga uchaguzi bila kufikiria afya ya mtoto aliyembeba tumboni mwake. She must be a self cenred woman!! Ndiyo sababu wenzao huko majuu huwa wanamalizana na watoto kabla ya kuingia kwenye siasa. Inaonyesha ni jinsi gani planning TZ ni tatizo mpaka kwa wasomi wetu!!
   
 7. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 821
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  :tape:
   
 8. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni jukwaa la Matokeo (Si matukio) au Tetesi?
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Narudia tena. Tatizo la wagombea wa CCM hawakujiandaa kushindwa kitu ambacho ni kibaya sana ktk mashindano yeyote yale.
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 80,447
  Likes Received: 37,838
  Trophy Points: 280
  Hapa ni matokeo ya uchaguzi haya mengine yanatoka wapi?

  Kwa kuongezea mama huyu hana cha mimba wala cha uja wepesi ila hizo ni ghiliba za kisiasa tu wapigakura wamwonee huruma. Lakini usitarajie hilo tumbo likapotea kwa sababu ni uvimbe wa elimu dunia....................wazungu wasema "a curse of consumption"..... .yaani amekula visivyoliwa na hayo ndiyo matunda yake................Sitafafanua na asiye mwana aeleke jiwe.............
   
 11. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kayataka mwenyewe. ule umri si kutembea pekupeku. hao ndo wanaharibu watoto wetu. pumbaf
   
 12. d

  dotto JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Amesababisha kifo au!!??
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  My godnesss..kwanini afikie huku?...uchaguzi umeisha lakini maisha yanaendelea....kwanini anaruhusu hali hii?
  Too bad(if true)
   
 14. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mtu mwemyewe ndo kwanza ana post 10 kwenye jamii forum.. hivyo bado ajaelewa mambo yanaendaje,msimseme vibaya tumsaidie kumwelekeza
   
 15. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Slaa anaibiwa kura sisi tunapiga soga za mimba. Haya ndo matatizo ya Watanzania. Tunaacha kuzungumzia mambo ya maana tunaanza kuzungumzia mimba, Yanga na Simba, Arsenal na upuuzi mwingine. Leteni matokeo bwana, haya mambo ya mimba ya nini bwana!!! Ah!!
   
 16. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ni mgeni hatuna noma naye. Tatizo ni hawa wakongwe wanaoendeleza mjadala. Paka Jimmy na Ndibalema ni wageni? Wanamwacha Slaa anaibiwa wao wanazungumzia mimba.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,140
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  mwenye mimba na wewe humjui?! mi namjua anaitwa manvi!!
   
 18. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hapana nadhani imepotea njia...
   
 19. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,353
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160

  Acha udaku mkuu!! Hii si habari ya great thinkers kuhangaika nayo!! Never the less, hapa si mahali pake, nenda kaweke kwenye matangazo huko!!!
   
 20. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Acheni huu ushnzi hauwezi kuwasaidia kitu.......Siasa zisiondoe ubinadamu wenu....
   
Loading...