jamani kuna tetesi kuwa mimba ya dk.buriani batilda ambayo baba wa hiyo mimba hajulikani imeharibika kutokana na stress za uchaguzi baada ya kubwagwa na mh.lema ktk jimbo la arushaa. habari hizi nimezipata kwa mtoto wa mdogo wake anayesoma udom. masikini burianiiiiiiiiiiiii:israel:😛eep:😎

Kama kweli awe mvumilivu watu ndo wameamua.
Pole mama matilda ndo ukubwa huo
Hapa ni matokeo ya uchaguzi haya mengine yanatoka wapi?
Kwa kuongezea mama huyu hana cha mimba wala cha uja wepesi ila hizo ni ghiliba za kisiasa tu wapigakura wamwonee huruma. Lakini usitarajie hilo tumbo likapotea kwa sababu ni uvimbe wa elimu dunia....................wazungu wasema "a curse of consumption"..... .yaani amekula visivyoliwa na hayo ndiyo matunda yake................Sitafafanua na asiye mwana aeleke jiwe.............
Wa chadema walijiandaa kushindwa???. Angalia Mgombea wa Tarime alijiandaa kushindwa yule??? Haya sasa alizani kama we chadema ukienda Tarime unashinda, haya imekula kwake, naye mpeni maneno.Narudia tena. Tatizo la wagombea wa CCM hawakujiandaa kushindwa kitu ambacho ni kibaya sana ktk mashindano yeyote yale.