Yeye Kagasheki amekubali kufanyia mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM ya Wilaya kwenye UKUMBI UNAOMILIKIWA NA KANISA!!!.
Wenzake wa Muheza walikataa katakata kufanyia mkutano kwenye ukumbi unaomilikiwa na kanisa. Lakini ajabu wanakubali kufanya kazi na kutibiwa kwenye hospitali ya wilaya ambayo ni mali ya kanisa inaitwa TEULE. Wahenga waliosema Baniani mbaya kiatu chake dawa walikuwa na AKILI.
Mkuu Bobuk!
Wewe Umenena!!!
Bonde bado kabisa Mkuu! Kumbuka shule ya kwanza kabisa Tanganyika ilijengwa Muheza Magila. Leo hii Muheza ndiyo imekuwa Bongo lala.