Dk Aman kuvuliwa Umeya Bukoba anguko la Waziri Kagasheki

Chama hakiwezi kumvua Dr. Amani Umeya ,hiyo ni kazi ya baraza la madiwani wote wa Manispaa ndilo lenye jukumu la kufanya hivyo.Pengine kama chama kuomba madiwani wake wafanye hivyo kwenye baraza la madiwani kwa kuwasilisha hoja binafsi kwa Katibu wa Baraza ambaye ni Mkurugenzi wa manispaa na Mwenyekiti wa kikao ambaye ndiye Mayor.
Kwa ujumla hapa mchochezi wa vita ni Kagasheki na awali nilisema Kagasheki kama anahoja nzito mbona hamgusi Mkurugenzi wa Manispaa maana ndiye mpishi wa kila kitu katika Manispaa?

Mzee unajua chama kinafanya kazi ya kumvua uanachama ili asiwe mwakilishi wa udiwani katika kata yake na automatically anaukosa umeya moja kwa moja.
 
Kagasheki hana tofauti na USAID inayotengeneza utegemezi wa kifikra na kiutu kwa nchi za ulimwengu wa tatu maksudi ili iendelee kuwatawala kiulaini. Kazi za Mbunge zinafahamika bayana Kikatiba Ibara ya 63 lakini Kagasheki kang'ang'ana na misaada uchwara utadhani ndiyo kazi ya Mbunge ilihali yale ya msingi na muhimu hayatekelezi. Wanapotokea wenye uwezo wa kuyatekeleza, Kagasheki anageuka kikwazo. Angalia aina ya misaada ya Kagasheki ambayo ndiyo anaita maendeleo:


  • Kuchangia vikundi vya umoja wa Kijima wa Wanawake
  • Kuchangia harusi, sherehe ya walimu, kipaimara, maulidi, hijja (Nyakojoga na Mecca), misiba, kurekodi kaswida na gospel
  • Msaada hiace ya abiria kuwa emergency van-ngoma iko kwenye mgonjwa kupata kibali cha kuitumia!!



  • Umesahau msaada mwingine, majuzi kwenye mashindano ya CECAFA Challenge Cup huko Uganda aliwadhamini mashabiki wa mpira kwenda Uganda kuishangilia Kilimanjaro Stars iliyoishia kuchapwa na wala UROJO.
 
Umesahau msaada mwingine, majuzi kwenye mashindano ya CECAFA Challenge Cup huko Uganda aliwadhamini mashabiki wa mpira kwenda Uganda kuishangilia Kilimanjaro Stars iliyoishia kuchapwa na wala UROJO.
[/LIST]

Hizo ndizo kazi za Mbunge?
 
Mambo mengine bwana........mie sitaongea chochote kwa sasa, maana uozo wa Kagasheki niliuweka bayana kwenye video...humuhumu JF. Kitendo cha Dr. Aman (PhD) kuharakisha maendeleo kiasi alichofikia kimemtisha sana Kagasheki.

Maendeleo yapi mkuu. Au una maana ya shule zake za binafsi?
 
Kilichomleta Kagasheki sio hicho kikao bali ni Mauaji yaliyofanywa na mwanae maeneo ya Kibeta. Mtoto wa Kagasheki amemgonga mzee mmoja kwa gari na kufariki papo hapo.Kagasheki ilimlazimu afike Bukoba kuweka mambo sawa.

RIP Mzee Bikopo.
Huyo mzee aliyegongwa na kufariki anaitwa Mzee Bikopo. Aligongwa akiwa anaendesha bajaji yake maeneo ya Ibura kanisani siyo mbali na nyumbani kwake Kibeta. Alikuwa ni mzee anyeheshimilka na kufahamika mtaani na mjini.
 
Ina maana siku hizi kagasheki ameirudisha familia yake bukoba toka uswizi? Kwa ninavyofahamu mimi mpaka tunapga kura za 2010 tangu 2005 wananchi karibu wote pale bkb mjini walikuwa hawaifahamu familia yake kwa maana ya mke na watoto wake isipokuwa wadogo zake akina abdul, ina maana amewarudisha bukoba au kuna michanganyo kwa mtoa taarifa?
 
Rwakatare ni nguzo ya chadema bkb mjini, kabla ya ujio wake hakukuwa na chadema bukoba kwa hivyo yaweza kuwa kweli kapoteza mvuto kwa kiasi fulani lakini ana nyota kali sana na jimbo lile, kama asiposimama yeye kama mgombea basi hakuna jinsi kwamba atapaswa awe karibu na huyo mgombeaji, vinginevyo kazi yaweza kuwa ngumu kuliko anaposimama yeye..
 
wakati mwingine utafikiri ni movie, vitendo hivi kufanyika kwenye mkoa wa watu wanao jiita wasomi, ni aibu sana kukubari kupelekeshwa na familia ya kagasheki na wanao mshangiria wapo giani, ningewakumbusha huyo jamaa kasaidiwa na akina Lwangisa mnajua kawafanyia nini sasa,na hata huyo Aman kamfanya kama alivyo mfanyia rwangisa na kuna familia ya diwani wa ijuganyondo anapelekeshwa na familia hiyo na watoto wake hii ni noma,kibaya sana Kagasheki mali siri anakuja kuleta udini unawea kuona anavyo fanya. anatumia radio yake pia kuvuruga watu huyu jamaa ni myama kabisa afaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anatupeleka pabayaaaaaaaaaaaaaaa

,
 
Huyo mwenyekiti wa ccm bukoba hana hata sifa kaingia kwa posa ya kagasheki mali ya siri. ambaye ajawahi kukubarika bukoba asitumie pesa aone.
 
unajua Rwakatare na kundi lake kagashe kasha wanunua. kwa hali kama hii wangewea kupata wanachama wengi na kusukuma maendeleo lakini Rwakatale ana lolote na afai kabia kama kuna mtu anafikiria chadeba bukoba sahau kabisa hakuna kitu hapo wote sherejee amna kitu kelele tupu.
 
kuna binti mmoja aliadhirika yeye na baba yake lakini sasa ndiye yupo na aliye mdharirisha baba yake MURUNGIIIIIIIIIIIIIIIIIII HAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
wakati mwingine
utafikiri ni movie, vitendo hivi kufanyika kwenye mkoa wa watu wanao
jiita wasomi, ni aibu sana kukubari kupelekeshwa na familia ya kagasheki
na wanao mshangiria wapo giani, ningewakumbusha huyo jamaa kasaidiwa na
akina Lwangisa mnajua kawafanyia nini sasa,na hata huyo Aman kamfanya
kama alivyo mfanyia rwangisa na kuna familia ya diwani wa ijuganyondo
anapelekeshwa na familia hiyo na watoto wake hii ni noma,kibaya sana
Kagasheki mali siri anakuja kuleta udini unawea kuona anavyo fanya.
anatumia radio yake pia kuvuruga watu huyu jamaa ni myama kabisa
afaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anatupeleka pabayaaaaaaaaaaaaaaa

,



Nafikiri utakuwa unamzungumzia Mzee Karumuna baba yao Kina Jamco-mpiga
video aliyeoa majuzi. Huyu Diwani Kichwani kafungwa nazi kabisa. Hawa
ndiyo design ya watu anaowataka Kagasheki. Yaani uwe absolutely under his control, ukisikia mtu anamsema/anamkosoa umwambie, kama ni kiongozi kabla ya kufanya maamuzi umwombe ruhusa, akikutukana au kukudharirisha useme "Tata Wakola". Nashangaaga sana! Yaani si vijana, si watu wazima wala wazee wote kumtetemekea Kagasheki utafikiri Mukama Kahigi anga Mugasha!
 
Katika siasa lolote linawezekana. Dr. Aman (Medicine) anaweza kupokonywa Umeya lakini hili likitokea ccm Bukoba itavulugika na kusambaratika kabla ya muda wake 2015. Lakini katika mvulugano huu wote toka sasa Kagasheki na timu yake ndo hivyo inaondoka kwenye “Ngoma”. Mzee Lwangisa kila mara anarejea usemi wake wa siku nyingi “Engoma, Eshuba Mbali Elagiile!”

Haya ni matokeo ya Fadhira za Kijima, kutaka ata uliyempangusa kamasi utotoni, kama amefanikiwa ukubwani basi akurambe miguu na kukuabudu. This is extremely too low for Kagasheki na his family. Kagasheki pamoja na elimu na kuishi nje, kitabia amebaki kuwa mjima wa kibepari. Yaani mbinafsi mwenye kutaka kuonekana mungu-mtu na kutukuzwa.

Kagasheki hana tofauti na USAID inayotengeneza utegemezi wa kifikra na kiutu kwa nchi za ulimwengu wa tatu maksudi ili iendelee kuwatawala kiulaini. Kazi za Mbunge zinafahamika bayana Kikatiba Ibara ya 63 lakini Kagasheki kang’ang’ana na misaada uchwara utadhani ndiyo kazi ya Mbunge ilihali yale ya msingi na muhimu hayatekelezi. Wanapotokea wenye uwezo wa kuyatekeleza, Kagasheki anageuka kikwazo. Angalia aina ya misaada ya Kagasheki ambayo ndiyo anaita maendeleo:


  • Kuchangia vikundi vya umoja wa Kijima wa Wanawake
  • Kuchangia harusi, sherehe ya walimu, kipaimara, maulidi, hijja (Nyakojoga na Mecca), misiba, kurekodi kaswida na gospel
  • Msaada hiace ya abiria kuwa emergency van-ngoma iko kwenye mgonjwa kupata kibali cha kuitumia!

Hizi ndizo kazi za Mbunge wetu mfano wa kuigwa Kagasheki! Hii ni misaada ya kifedhuli na kuhaibishana na kufanyana wategemezi wa kudumu. Mbaya zaidi utoaji wa misaada ya Kagasheki lazima iwe na kufehedheshana ama wakati inatolewa au baada ya kutolewa. Kagasheki akikusaidia atakunanga mpaka ukome. Hili ndili limipelekea hivi karibuni Wakatoliki kukataa tena msaada wa siku nyingi wa usafiri wa waumini wao kwenda kuhiji Nyakijoga.

Kagasheki anataka kuwa juu ya kila kitu na kila mtu ndani ya chama na nje ya chama Jimboni. Amefikia hatua ya kutaka hata wanaojadili suala lolote juu ya maendeleo ya Kagera iwe ni kwa idhini yake kwanza. Hataki mkusanyiko wa Watu wa Bukoba ambao yeye hana control nao. Nimeshangaa katika mazungumzo juzi akikandia hata group-mails na majukwaa ya alumni wa-Kagera. Inasikitisha anaposhindwa kutetea hoja analeta vioja na kuingiza mdudu hatari sana-Udini!

Omutwale. Umenena. Najiandaa kurudi nyumbani kuanza harakati za kumng'oa.
 
Back
Top Bottom