Mkuu jaribu hata kuangalia kwenye youtube utaona mziki wake harafu ukweli ni kwamba wananchi wameichoka CCM mpaka watu wa arusha wanasema chadema hata ikisimamisha mavi zidi ya ccm...mavi yatashindamh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?
God Bless Lema.
mh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?
Nape sema na hawa sasa!
Nape acha roho ngumu njoo kwa makamanda tukakomboe nchi
nasubiri kauli ya Nape
nasubiri kauli ya Nape
dah .. mpaka naogopa