Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA

haya ebu anza kujadil tuone baring in mind liko mahakaman, halafu na wewe Sambala ni shujaa yako kwa kutamka hvyo?
Mimi siyo kama Kubenea bwana, Hivi mahakama haiwezi kumwita Kubenea akhojiwa naye kwa kuingilia uhuru wa chombo hicho.
 
Mtaji wa CCM ndiyo huu Ujinga Umasikini Maradhi. Nyerere aliwaambia wapige vita wao wamekumbatia ndiyo product zenyewe hizi. Hata akili ya kuelewa hakuna
 
Aliyemteka na kutesa Dr. Ulimboka ni KICHAA kutoka Kenya. Kwahiyo huyo KICHAA ndiyo SHUJAA wa huyu Mh. Diwani?!
 
Naona kirode hapo juu kala ban hata mimi naondoka hapa sipo..
yaani hii habari imeniharibia mood naona kama ban inanukia vile, yaani hawa jamaa sijui wanaubongo wa betri, na anechaji betri ni JK-IlaZa, kweli inaboa aiseee
 
no ishu hapa inategemea watu aliokuwa akiwahutubia. angesema huo ujinga maeneo active kama singida pale aone. Mida hii angeshakuwa kakaribishwa umautini huko
 
mimi nilijua mpiga debe maana hata sura yake tuu inareflect nini anawaza. ukimuangalia kwa umakini utagundua si mtu mwenye norma thinking capacity so ni kama mwehu flani hv
 
Back
Top Bottom