Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA

Tukisema CCM mlimteka Dr ulimboka mnakuja juu, sasa yameanza kujidhihirisha toka ktk kauli zenu
 
aliyemteka dr. Ulimboka ni shujaa
wangu wa karne"

kauli ya diwani wa kata ya mondo-kondoa,dodoma(ccm)

namnukuu..........


"siku ya mashujaa na
shujaa wangu wa karne...

Jana ilikuwa siku ya mashujaa
tanzania. Siku ambayo
huazimishwa kila mwaka
kuwakumbuka mashujaa wetu
ambao wametoa mchango
mkubwa wa kuikomboa nchi.

Kwa upande wangu shujaa
wangu wa mwaka na karne hii.
Ambaye ntamkumbuka ni
yule aliyefanikisha na
kumteka dkt ulmboka.


Aliyemteka dkt ulimboka
ameleta ukombozi mkubwa
kwa watanzania masikini na
hasa wagonjwa ambao
walikuwa wakifa kwa sababu za
mgomo wa madktari kudai
mishahara zaidi.

Kwangu mimi dkt ulimboka ni
msaliti wa taifa lake.
Na aliongoza mgomo haramu
ulioua watanzania wasio na
hatia kwa tamaa zake.
Tangu shujaa huyo alipomteka
ulimboka afanikishe azma yake
alikomesha mgomo na mijadala
yote ya madaktari na mpaka
sasa haisikiki tena


hongera shujaa wetu wa
mwaka kwa kukomesha
mgomo."

mwisho wa kunukuu.................

Naomba mnisaidie nyie mmemwelewaje na hii kauli yake?

wadau nakuja na cv zake pia nawapa link alihaw kushauriwa wana jf humu cku moja pia ila haskiag na kaul zake za kijinga
 
Yeye kwa akili yake fupi anadhani agenda kubwa ni mshahara, aende hospitali yoyote anayoijua aone jinsi watu wanavyojifungulia chini. Aulize kama kuna X-ray na CT scan. Mungu amsamehe kwa kuwa ajui alitendalo
 
viongozi wengi wa ccm wanajipendekeza sna ili waonekene wanafanya kazi kumbe ni vibaraka. wasubiri 2015 waone wanambeya tutavyoionyeha ccm kuwa inaua watoto wetu. tutainyoa kuazia ubunge udiwani hata wenyeviti. asione tuko kimya wazee wanajadili jinsi yakuonyesha hawajaridhishwa na unyanysaji wa watoto wao
 
Aliyemteka Dr. ULIMBOKA NI SHUJAA
WANGU WA KARNE"

Kauli ya Diwani wa Kata ya Mondo-Kondoa,Dodoma(CCM)

Namnukuu..........


"SIKU YA MASHUJAA NA
SHUJAA WANGU WA KARNE...

Jana ilikuwa Siku ya Mashujaa
Tanzania. Siku ambayo
huazimishwa kila mwaka
kuwakumbuka mashujaa wetu
ambao wametoa mchango
mkubwa wa kuikomboa Nchi.

Kwa upande wangu Shujaa
wangu wa Mwaka na karne hii.
AMBAYE NTAMKUMBUKA NI
YULE ALIYEFANIKISHA NA
KUMTEKA DKT ULMBOKA.


Aliyemteka Dkt Ulimboka
ameleta Ukombozi mkubwa
kwa watanzania masikini na
hasa wagonjwa ambao
walikuwa wakifa kwa sababu za
mgomo wa Madktari Kudai
Mishahara Zaidi.

Kwangu mimi Dkt Ulimboka ni
Msaliti wa Taifa lake.
Na aliongoza mgomo haramu
ulioua watanzania wasio na
hatia kwa Tamaa zake.
Tangu Shujaa huyo alipomteka
Ulimboka afanikishe Azma yake
alikomesha mgomo na Mijadala
yote ya madaktari na mpaka
sasa Haisikiki tena


HONGERA SHUJAA WETU WA
MWAKA KWA KUKOMESHA
MGOMO."

Mwisho Wa kunukuu.................

NAOMBA MNISAIDIE NYIE MMEMWELEWAJE NA HII KAULI YAKE?

Hili ndilo la kujadili kwa sababu alikuwa anahatarisha maisha ya watanzania waliowengi, badala ya kumsafisha kwa kusingizia vyombo vyetu vya ulinzi kuwa vilimteka ili iweje?
 
Back
Top Bottom