Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

kwaheri diwani wa ccm, krb kamanda wa cdm. polen wafiwa mungu amuweke anapostahili kutokana na matendo yake duniani.
 
Poleni wafiwa, Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe, lkn cjui kama ametubu dhambi zake za ugamba
 
Shukurani sana Mkuu, lakini ujue hili liende pande zote ili kuhakikisha uungwana wetu kama Watanzania haupotei. Kuna watu wengine hapa wanaandika vitu vya hovyo sana hadi wengine nasi tunaamua kuweka pembeni uungwana wetu. Nimekusikia Mkuu. RIP D.D. Mbao


BAK,

Uwa nakuheshimu sana kwa jinsi unavyo changia, na ndio maana nionapo hoja yako uwa naacha ushabiki wangu wa kisiasa na kujadili hoja kwa mlengo wa kati. Ningeomba na wewe uachane na mapungufu ya mtu au watu na ujikite kwenye suala lililopo kwenye uzi huu, nalo ni msiba, mambo mengine ya kejeli na fedheha tuyafanye kwenye nyuzi zenye maudhui ya namna hiyo lakini sio msiba. Yangu ni hayo tu mkuu.
 
off course tunahitaji tazama zaidi ya kifo, wakati tukiacha wafu wazike wafu wenzao.NI wazi si habari nzuri ktk propaganda za CCM.Kwani wanakwenda shidwa tena na hivyo kuwa trend mpya ya CDM ambayo watanzania wataipokea kam facebook
 
Mkuu mimi niko mbali sana na hata hizo siasa sina mpango nazo tena.

Nyie endeleeni kumwagiana matindikali

Sasa unafanya nini hapa jamiiforum? Tokaaa! Ondokaaa hapa...kwendaaaa!!!!
 
Shukurani sana Mkuu, lakini ujue hili liende pande zote ili kuhakikisha uungwana wetu kama Watanzania haupotei. Kuna watu wengine hapa wanaandika vitu vya hovyo sana hadi wengine nasi tunaamua kuweka pembeni uungwana wetu. Nimekusikia Mkuu. RIP D.D. Mbao


Viongozi wetu wametufikisha hapa tulipo leo... Inasikitisha ila hatuna jinsi , hatuwezi kuendelea kuwa wanyonge wakati wenzetu washavua utu wao na kuvaa unyama
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Poleni wafiwa,Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu
 
CCM11.jpg

Daudi Daudi Mbao Aliyekuwa Diwani wa Kata Ya Tungi Manispaa ya Morogoro amefariki leo nyumbani kwake nane nane Morogoro Mjini.


Marehemu alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa wa sukari kwa muda mrefu na imefahamika ndio chanzo cha mauti yake.


Msiba uko Nyumbani kwake nane nane morogoro mjini ,Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa kesho kwenye Makaburi ya Kola Mjini Morogoro

Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jiana la Bwana lihimidiwe

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amen

Poleni sana wafiwa> Ni diwani wa eneo langu
 
Kwa mlengo huu nashindwa kutofautisha chadema na alqaeda au al shabab kwani wote hufurahia vifo vya wengine na wanaua watu kwa jina la Mungu

Kweli mkuki kwa nguruwe, vipi wabunge wenu wote kuendelea na bunge wakati vifo vya bomu la Mwigulu vimetokea Soweto?
 
Tunaelekea kubaya, ukae ukijua mimi sikuchukii wewe kuwa chadema hata kidogo na hata ukiangalia ninaofanya biashara nao ni kutoka kila chama sasa haya mambo ya kufurahia vifo vya wengine sijui tunakwenda wapi sasa
.....hapo kwenye red rekebisha!!!

Rip Diwani......
 
Kwanini gamba dogo ndio linawahi i wish yangeanza yale yanayoomba wazee wafe ili vijana wakubali serikali 2.
 
Kamanda teso, unanivunja mbavu..ni kweli hiyo kata ni yetu ila policcm wataleta fujo sana.virungu naabomu sina imani na ccm wala policcm.

Jamani hebu tujiunge na Red Brigade bana tupate ujasiri...Mkuu una woga sana wewe.....

" Wakikuchokoza mara ya kwanza tulia, wakikuchokoza mara ya pili tulia, wakikuchokoza mara ya tatu muombe Mungu hatua gani ya kuchukua"...........By Lema Soweto Arusha...
 
Back
Top Bottom