Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

Kuna haja ya kubadilisha sheria ya uchaguzi maana inawezekana wakati sheria hii ilipopitishwa hawakuangalia ka
ma kuna kifo.

............
............
kweli maana jee wakifa viongozi weeeeeeeengi maana ya Manani ni mengi; uchaguzi utarudiwa nchi nzima kwa gharama za nani?
ila sometimes ni faida kwa CDM maana wanjikwapulia tuuu phaaas!
 
Kuna haja ya kubadilisha sheria ya uchaguzi maana inawezekana wakati sheria hii ilipopitishwa hawakuangalia ka
ma kuna kifo.

Wewe gamba acha kuweweseka, kifo ni kitu cha kawaida , mimi nitakufa na wewe utakufa..acheni kuiogopa chadema. Mtu akifa tunaingia ulingoni..kama kawa.maganba mnaogopa sana kurudia uchaguzi maana mnajua chadema ni noumar
 
Mungu Amlaze Pema Peponi. Watanzania tufike mahali kwenye mambo ya vifo tuweke itikad pembeni. Tukiendelea kufurahi wenzetu kufa tutaanza kuchinjana. Na hizi chuki zitafanya baadhi ya wafuasi kunywa zaidi maji ya rangi za bendera zao. Na CCM akawa mtawala Milele. R.I.P
 
Liwalo na liwe.... Acha tuanze kuchinjana
 
Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
Inawezekana Marehemu alikuwa ni mmoja wa walioshabikia kifo cha Ally Zona kwa hiyo kifo chake ni moja ya malipo kwa mwenyezi mungu.
 
Inawezekana Marehemu alikuwa ni mmoja wa walioshabikia kifo cha Ally Zona kwa hiyo kifo chake ni moja ya malipo kwa mwenyezi mungu.
Aah...inawezekana aisee...dah kweli malupo ni hapa hapa duniani.RIP gamba.
 
QUOTE=only83;6943240]Mungu awape wepesi wafiwa.[/QUOTE]

Apumzike kwa amana ila kata haitarudi tena ccm mungu mkubwa
 
Na wale wanajeshi wa ccm wanaobaka raia kule mtwara umeweza kuwatofautisha?
Siungi mkono kinachoendelea ila ndipo nchi yetu ilipofikishwa na ccm leo...

RIP Daudi
Tunaelekea kubaya, ukae ukijua mimi sikuchukii wewe kuwa chadema hata kidogo na hata ukiangalia ninaofanya biashara nao ni kutoka kila chama sasa haya mambo ya kufurahia vifo vya wengine sijui tunakwenda wapi sasa
 
Poleni kwa msiba! tume itisheni uchaguzi haraka CDM tuchukue na hiyo kata
 
Tunaelekea kubaya, ukae ukijua mimi sikuchukii wewe kuwa chadema hata kidogo na hata ukiangalia ninaofanya biashara nao ni kutoka kila chama sasa haya mambo ya kufurahia vifo vya wengine sijui tunakwenda wapi sasa

Mkuu kiswahili kizuri ni tumefika kubaya ni Mungu tu atunusuru hali isizidi kuwa mbaya zaidi ya hapa.....
 
Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
Chris lukosi acha unafiki, kama umeamua kiachana na siasa unafanya nini kwenye hili jukwaa? Hivi magamba mtaacha lini unafiki? Mnaboa..na tunaichukuwa hiyo kata sasa.
 
kuwa na utu kijana, kifo hakina mjuzi unatakiwa kuheshimu, vyeo ni vitu vya kupita na kila mwanaadam ataonja mauti
kumbe hata nyie mkifiwa hampendi kukebehiwa sasa mbona majanga ya vifo yanayo husu CHADEMA huwa mnakuwa na kebehi sana??
all in all polen wafiwa.
 
Duh!! Poleni sana wafiwa.
Kuna watu Presha ya uchaguzi imeshaanza kupanda.
 
Hahahaha, basi tutaenda kwenye kampeni kuchukua kata eeh

Kampeni ni lazima twende, tena nitatoa gari langu aina ya toyota Tacoma kwaajili ya campaign. Kamanda mawazo amenivutia alipotoa gari lake.nami natoa langu.
 
kumbe hata nyie mkifiwa hampendi kukebehiwa sasa mbona majanga ya vifo yanayo husu CHADEMA huwa mnakuwa na kebehi sana??
all in all polen wafiwa.

Mkuki kwa nguruwe mkuu! Wao wepesi sana wa kujisahau
 
Kampeni ni lazima twende, tena nitatoa gari langu aina ya toyota Tacoma kwaajili ya campaign. Kamanda mawazo amenivutia alipotoa gari lake.nami natoa langu.

Pamoja sana kamanda kumbo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom