Kata yetu
Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
Lazima Uchilisosike mwaka huu.....Penda usipende kata lazima ije CDM hiyo......Mungu amlaze jehanam kama aliiba mali za umma..
Kata ya CDM hata unye mavi....CDM tuna twanga kote kote..kuwa na utu kijana, kifo hakina mjuzi unatakiwa kuheshimu, vyeo ni vitu vya kupita na kila mwanaadam ataonja mauti
![]()
Daudi Daudi Mbao Aliyekuwa Diwani wa Kata Ya Tungi Manispaa ya Morogoro amefariki leo nyumbani kwake nane nane Morogoro Mjini.
Marehemu alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa wa sukari kwa muda mrefu na imefahamika ndio chanzo cha mauti yake.
Msiba uko Nyumbani kwake nane nane morogoro mjini ,Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa kesho kwenye Makaburi ya Kola Mjini Morogoro
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jiana la Bwana lihimidiwe
Mungu ailaze Roho ya Maremu Mahali pema Peponi Amen
Mungu endelea kutumia wembe huo huo kwa magamba, ukiisha makali geuza upande wa pili..!
Una busara sana....Upande wa pili makali yakiisha ni bora atumie sime..
Vijana wa bavicha acheni mzaha kwenye taarifa ya msiba.
R.I.P Diwani...
Vipi hauna dodoso ni lini uchaguzi utatangazwa tuchukue kata yetu...
Mungu amlaze anapostahili mpiganaji
Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
Ni lini umeshawahi kuonyesha ubinadamu kwenye mateso aliyoyapata Lwakatare baada ya kubambikiwa kesi na Mwigulu? Kwenye mateso ya Dr Ulimboka? Kwenye mauaji ya Mwangosi, Kwenye mauaji mbali mbali kule Arusha ikiwemo mauaji ya kurushiwa bomu na pia kule Mtwara watu kuuwawa, kuchomewa nyumba zao na kutiwa vilema kwa kudai haki zao!? Mkuki kwa nguruwe eeh!!! Mnaepeleka nchi pabaya!!! Kikwete mpaka leo hii hajatoa rambi rambi kwa familia ya Mwangosi, kule Arusha, Mtwara na kwingineko lakini huyo muuza unga baada ya kumwagiwa tindikali kaenda haraka haraka kumpa pole!!! Mbona hujamkemea Kikwete kwa kutotoa rambirambi katika matukio hayo husika!?
Mkuu mimi niko mbali sana na hata hizo siasa sina mpango nazo tena.Lazima Uchilisosike mwaka huu.....Penda usipende kata lazima ije CDM hiyo......Mungu amlaze jehanam kama aliiba mali za umma..