Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

Wadau, kwakuwa yeye ni Diwani inamaana ni kiongozi wa kata, sasa inapotokea kuwa amehama chama kimoja kwenda kingine, je nilazima ufanyike uchaguzi mwingine tena kushirikisha vyama vya siasa ?

Uchaguzi lazima ufanyike tena. Kama ingelikuwa ni Mbunge wa kuteuliwa na Chama hapo kweli wangeliteua mwingine. Lakini huyu kwa kuondoka CCM, ina maana kuwa na cheo cha Udiwani pia amekikosa labda agombee tena huko CDM.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kama huyo diwani hana jina, weka hata la baba yake.......

Mkuu mbona Jina lipo hapo mtoa mada ameambatanisha na barua ambayo in jina pale.

Angalia vizuri chini pale kuna barua.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
575320_346375112086186_100001411003751_967841_729877732_n.jpg 561931_3728334694797_1468854037_33327575_1973530902_n.jpg

Wagonjwa Dispensary JK&Maximo in Brazil
Madiwani wa Iramba Magharibi na Singida mnangoja mpaka Mungu ashuke? Dharau hizi za JK haziwagusi
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.
Ndoto mchana jamani zinaruhusiwa, angalia usije ukaota umezaa na mtu tu maana itakuwa hatari
 
Huyo ndio Mungu ambaye sisi CDM tumekuwa tukimtaja mara kwa mara.Viva CDM
solidarity forever
tolerance gives power..\/
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.

We mtu ni mzushi sijapata kuona.
 
Ilikuwaje mpaka mnada unabadilishwa bila sababu za msingi? au huku ulikopelekwa ndiko anakotoka Mwenyekiti wa madiwani? Kazi kwelikweli. Hongera diwani Tabasam kwa uamuzi mgumu.
 
M4C kwenda mbele mpaka ifike 2015 kitakuwa kimeeleweka karibu sana Diwani kwa wapambanaji tutafika na tutaikomboa inchi toka kwa utawla wa dhuluma!
 
Back
Top Bottom