Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

Diwani Hamisi Mgwao aingia CDM toka CCM

source; SunRise Radio
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.
 
Nafikiri sasa itakuwa mwisho wa kuwakejeli viongozi wanaoondoka CCM. Pamoja na mapungufu yake namkumbuka sana Mzee Makamba, wakati anaondoka ukatibu mkuu wa chama aliwaambia anakwenda kuwaandalia makao. Sasa ndiyo naanza kumuelewa mzee yule mpayukaji.
 
Hizi cheap politics zinashusha hadhi ya JF.....Thibitisha tuhuma hizi
 
ulitaka niongozwe na serikali ya chama ambacho, kiongozi wake amefungua danguro, ameuza dawa za kulevya na katibu wake ameasi dini? kuliko hayo, tutaingia porini na tutaanza na wao maana watu wa kuondoka nao wako tayari, msione kobe ameinamisha kichwa.
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.

Keep on dreaming! Ila utaamka siku moja na kugundua ulikuwa unaota ndoto za Alinacha.
 
madiwani dar mnasubiri nini?nape hamia airtel muda ndio huu.anayesubiri 2015 ndio ahamie cdm imekula kwake
mimi huwa naona kama dar ndio wanaokwamisha maendeleo ya kila kitu

hatuna vuguvugu lolote zaidi ya kwenda kama maguruwe
 
Nafikiri sasa itakuwa mwisho wa kuwakejeli viongozi wanaoondoka CCM. Pamoja na mapungufu yake namkumbuka sana Mzee Makamba, wakati anaondoka ukatibu mkuu wa chama aliwaambia anakwenda kuwaandalia makao. Sasa ndiyo naanza kumuelewa mzee yule mpayukaji.
Nape atakuambia na huyo alikuwa kwenye list ya kufukuzwa. Anachokifanya Nape ni sawa na mwenye nyumba ya udongo kudharau tofali moja linapodondoka kwa kusema hilo ni tofali moja tu nyumba yangu imejengwa kwa matofali elfu 10 yatabaki 9,999 nafikiri huo ni ujinga.
 
Back
Top Bottom