Kumpoteza Mtu muhimu kama Hamis Mgwao ktk siasa za sengerema na Mwanza kwa Ujumla inaonyesha wazi kabisa kwamba CCM haina tena Vision....Kwani licha ya Ushawishi mkubwa alionao Bwana Hamis Pale Sengerema hata Ngeleja mwenyewe anatambua kwamba sasa hata Ubunge wake pale Sengerema umeisha rasmi ila ni suala la Muda tu..Namtakia kila la kheri Bwana Hamis na kundi lake kubwa katika siasa za chama kipya walichohamia.
mbona kaweka barua ya uyo diwani? unataka jina gani tena? au ujaisoma iyo barua?Ili taarifa yako iwe more credible, tafadhali tupatie jina la Diwani husika.
hiyo haitishi kwani 1995 yalikuwa nihayo hayo
Ngereja kaa mkao wakula...Unatumia muda mwingi kupiga porojo Bungeni na kulisahau jimbo lako,wakati BAVICHA wamekuwa kazini masaa 24 kuhakikisha Sengerema inakuwa ngome imara ya CDM.Hongereni sana BAVICHA Geita na Sengerema kwa kazi ambayo mmekuwa mkiifanya na sasa matunda yanaanza kuonekana.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.
ulitaka niongozwe na serikali ya chama ambacho, kiongozi wake amefungua danguro, ameuza dawa za kulevya na katibu wake ameasi dini? kuliko hayo, tutaingia porini na tutaanza na wao maana watu wa kuondoka nao wako tayari, msione kobe ameinamisha kichwa.
hiyo haitishi kwani 1995 yalikuwa nihayo hayo