Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.

Mtoto wa kiume PUNGUZA DOMO.
 
Hizi cheap politics zinashusha hadhi ya JF.....Thibitisha tuhuma hizi

Athibitishe wapi? Akili yake inamtuma kuwa uzushi wa aina hiyo anaouleta humu utabadilisha mawazo watu ili waurudie ujinga wa kukumbatia wezi, waongo, na mazezeta walioko ccm! Mwache ajidanganye yeye na watu wa aina yake, ila sasa hata watoto wadogo wameshaona mwanga. Nani amuamini mtu anaejulikana - tena kwa ushahidi - kuwa ni muongo?
 
ulitaka niongozwe na serikali ya chama ambacho, kiongozi wake amefungua danguro, ameuza dawa za kulevya na katibu wake ameasi dini? kuliko hayo, tutaingia porini na tutaanza na wao maana watu wa kuondoka nao wako tayari, msione kobe ameinamisha kichwa.

Punguza jazba kijana, M4C with no apology, otherwise:focus:
 
wimbi la mabadiliko na upepo unavuma kila kona ya nchi yetu kwa sasa!
 
Mh. Hamis Mwagao maarufu kwa jina la Tabasamu, Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Sengerema Mjini amesema anakihama Chama chake kufuatia Chama hicho kushindwa kuifanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serekali kuhusu wizi katika Halmashauri yake pamoja na kuhamishwa mipaka ya maeneo katika halmashauri hiyo kutokana na sababu za kisiasa.

Mh Lema anayesubiria rufaa ya Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini yuko Mwanza kwa sasa na akiongea na Arusha Mambo amesema Honeymoon aliyopewa ataitumia kufanya kazi maalumu za m4c ili kuidhihirishia Dunia kuwa Watanzania wamechoka na wako tayari kwa mabadiliko.
 
Hii sasa imatisha sidhani woye wanaotoka ccm kwenda CDM ni magamba, naamini wengi ni waadilifu na hii ya kuhama inaelekea kuna jambo kubwa na hasa ninaloliona na viongozi wa serikali yetu kufumbia macho mambo mengi ya msingi yanayowagusa wananchi moja kwa moja, hakika wimbi ni kubwa sana, viongozi wa serikali badilikeni, mtusaidie wananchi, sukari sasa ni tsh 2,800.00 kwa kilo moja badala ya 1,700.00 iliyotangazwa na serikali, jamani chai nayo imekuwa ni kitu cha anasa? inatisha jamani, badilikeni kabla wengi hawajakimbia
 
ulitaka niongozwe na serikali ya chama ambacho, kiongozi wake amefungua danguro, ameuza dawa za kulevya na katibu wake ameasi dini? kuliko hayo, tutaingia porini na tutaanza na wao maana watu wa kuondoka nao wako tayari, msione kobe ameinamisha kichwa.

Yaani Kati ya MAPU***vu basi we ni Namba moja... Ila IPO utaelimika na kuzijua kiundani propaganda unazolishwa na hao magamba kuhusu VIongozi Wa umma. teh teh teh ...
 
wakati wan-ccm wakihamia chadema, chadema kwenyewe kuna vurugu za chini kwa chini, kwa mfano huu;

mbunge wa viti maalum lucy owenya kwa kushirikiana na baba yake ndesamburo, walimnunua anthony komu ili agombee ubunge wa afrika mashariki kwa sharti komu amuachie lucy kugombea jimbo la moshi vijijini, sasa komu kapigwa chini, milioni 100 walizotumia zimeenda chini sasa hofu ni kwamba kama komu ataendelea kugombea moshi vijijini ni mvutano mkubwa. Hiki ni chama kinachotarajiwa kuwakomboa watanzania. Tafakari.

Mbowe aliingilia kati kijanja ili wagomee uchaguzi ili kumkomoa mzee ndesamburo kwa vile hawaivi lakini ikashindikana baada ya komu kulazimisha kuendelea na mchakato huo, kisa? Shilingi milioni 100 za ndesamburo famili.
usiwe na wasi wasi ! Ndesapesa atatoa mil 100 nyingine jimbo likatwe mara mbili, vijijini A na B ! Umeonaa eeeh !
 
Kumpoteza Mtu muhimu kama Hamis Mgwao ktk siasa za sengerema na Mwanza kwa Ujumla inaonyesha wazi kabisa kwamba CCM haina tena Vision....Kwani licha ya Ushawishi mkubwa alionao Bwana Hamis Pale Sengerema hata Ngeleja mwenyewe anatambua kwamba sasa hata Ubunge wake pale Sengerema umeisha rasmi ila ni suala la Muda tu..Namtakia kila la kheri Bwana Hamis na kundi lake kubwa katika siasa za chama kipya walichohamia.
 
Mh. Hamis Mwagao maarufu kwa jina la Tabasamu, Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Sengerema Mjini amesema anakihama Chama chake kufuatia Chama hicho kushindwa kuifanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serekali kuhusu wizi katika Halmashauri yake pamoja na kuhamishwa mipaka ya maeneo katika halmashauri hiyo kutokana na sababu za kisiasa.

Mh Lema anayesubiria rufaa ya Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini yuko Mwanza kwa sasa na akiongea na Arusha Mambo amesema Honeymoon aliyopewa ataitumia kufanya kazi maalumu za m4c ili kuidhihirishia Dunia kuwa Watanzania wamechoka na wako tayari kwa mabadiliko.

Hii nzuri sana
 
ulitaka niongozwe na serikali ya chama ambacho, kiongozi wake amefungua danguro, ameuza dawa za kulevya na katibu wake ameasi dini? kuliko hayo, tutaingia porini na tutaanza na wao maana watu wa kuondoka nao wako tayari, msione kobe ameinamisha kichwa.

Huna jipya wala hakuna atayekushangaa na pumba zako. Watu wanasonga mbele jihadhari usijedandia treni kwa mbele? Ila umenifurahisha kutamka hadharani mtaingia porini kwani mlikuwa bado? Mbona kwenye mazimisho ya miaka 35 ya chama mliwaonyesha askari wenu wa msituni wakiwa na mishale na tunguli?

Halafu tuliza mukyari, rasha rasha tu unaanza kuweweseka je ikianza mvua itakuwaje?
 
Back
Top Bottom