Bora amehamia huko CCM kwa sababu huko ndiko kunakomfaa zaidi......Kwa mawazo haya kwamba malengo ya Millenia yatafikiwa kwa mwendo wa ufisadi,uzembe,kulindana,Takwimu za kupikwa pamoja na kukosa mikakati na dira sahihi ya kurahisisha maendeleo ili tufikie hizo objectives ndivyo vitakvotufikisha Millenium? Mbona huu ndiyo usaliti mkubwa kuliko yote? Ameshindwa ku-fit katika system asitoe visingizio
Hata akina Nelson Mandela,Walter sisulu,Steve Biko walisalitiwa hivi hivi .....cha msingi ni kwamba hizi ni harakati,hii ni movement ni lazima katika msafara huu kuwe na cowards wengi.Wasaliti wasipokuwapo katika harakati za Mageuzi basi hatutakuwa na kitu cha kujivunia katika mampambano/uanaharakati wetu.Hata katika maandiko matakatifu,usaliti ulipewa sehemu ya pekee na unajulikana,wanajulikana......Tusonge mbele,tutashinda