WAKATI ikiwa katika mgogoro na madiwani wake wa Arusha, Chadema imepata pigo baada ya mmoja wa madiwani wake Singida kujiengua na kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai hataki kuwa sehemu ya machafuko nchini.

Diwani huyo, Simon Tyosela wa kata ya Urughu, Iramba Magharibi, alisema hayo jana katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM anayeshughulikia masuala ya Uchumi na Fedha, Mwigulu Mchemba.

Tyosela aliyehamia upinzani wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 baada

ya kuanguka katika kura za maoni ndani ya CCM, alisema hakushawishiwa kuihama Chadema na kurejea CCM, bali amenusa hatari kwa taifa katika siku za usoni.

Alisema, maandamano yenye sura ya uchochezi kila kukicha, yamemkosesha amani na

kujiona msaliti mbele ya Watanzania.

Haya ya kushinikiza wananchi kuiga maandamano katika nchi za wenzetu, tena yasiyo ya amani, binafsi yamenishinda. Chadema hakuna demokrasia ya kweli na nilitarajia ingekuwa mstari wa mbele kuhangaikia maendeleo ya wananchi. Nimejiondoa kwa sababu mimi ni mpenda amani kwa nchi yangu.

Kwa mtindo huu niliona kabisa hatuwezi kufikia malengo ya millennia, kwa sababu

kila kukicha ni maandamano, hakuna la maana linalofanyika kwa ustawi wa nchi

yetu, alisema diwani huyo.

Alisema, hana cha kujutia kwa sababu wananchi ndio waliokuwa wamemshawishi kuingia Chadema wakitaka atumie chama kingine chochote kuingia madarakani, baada ya kushindwa kura za maoni.

Mchemba alimpongeza na kuitaka jamii kutokubali kuburuzwa na vyama vingine vya siasa kwa maslahi ya watu wachache wenye mwelekeo wa kulazimisha kushika madarakani kwa nguvu.
kuna wengine leo arusha sijui wataenda chama gani lakini hii ndiyo garama za kutafuta haki..
Keep dreaming, dont wake up ever, ur better that way.Mwanzo wa anguko la NGO ya CDM

yaani sielerwi kiburi wana kitoa wapi...Kama hawakufuata kanuni waondoke, haiundwi ccm nyingine hapa hii ni CDM.
nimeiona hii fbkuna wengine leo arusha sijui wataenda chama gani lakini hii ndiyo garama za kutafuta haki..
Fadhila Lemba
TAHARIFA YA HARAKA RADO 1,VIONGOZ WA CHADEMA ARUSHA WAJIUZURU WASEMA'' tumechoshwa na chama kinachoendeshwa kama familia ya mboe na slaa,wakilala ksho wanahamka na hili mala lile bila kufata vkao vya chama,vita ya mboe anayompiga dk slaa ili asigombee urais 2015 na kumuachia nafas agombee yy wakat zito nae anataka yy agombee uenyekit wa chama mwakan na urais 2015 hivyo kila kiongoz anatafuta umaarufu si kwamaslahi ya nchi bali kujenga makundi yao kwa maslahi yao,tunaomba wana arusha watuelewe ili chama kitakapo vurugika mjue sababuni nini.tunawashukuru .
kwani anahisi ataonewa..?niliongea na diwani wa kata ya sekei nikamwuliza nini matarajio yake kuhusu matokeo ya cc, akaniambia atahamia nccr mageuzi, na vile vile ataweka court injection
kwani anahisi ataonewa..?