Diwani CHADEMA arejea CCM

I once said that it will not be too easy for CDM. Kasi na mtindo wa utendaji wa CDM utawashinda wengi waliojiunga wakifikiri ni CCM mbadala. Wasioweza wajiondoe lakini hawatazuia mabadiliko ambayo hii nchi inahitaji. CCM hawabembelezwi kwa sababu hawabembelezeki. Lugha wanayoielewa ni ya jino kwa jino. Huwezi kumuokoa ndugu yako kutoka makucha ya simba kwa kumchekea, na wewe utakuwa mlo.

Wapo wengi sana wataondoka kwa namna hii. Cha muhimu ni uongozi wa CDM kuandaa makada wengi wanaoelewa itikadi ya chama ili kuweza kupata viongozi wazuri baada ya hawa mamluki kujiengua. Yaliyotokea Mbeya kwa Shitambala yaendelee kutoka ngazi za vijiji, kata, tarafa, wilaya, mikoa na taifa. Wasioweza, wakifikiri siasa ni kazi ya kuwapatia kipato waondoke.

Baada ya tukio hili tunataraji uchaguzi wa diwani kurudiwa. For CCM, it is too early to celebrate. Wwanaweza angukia pua uchaguzi utakapofanyika.

<br /
kweli mkuu kwa hali ccm wanaomba kusikuwepo uchaguzi wa aina yeyote .wanajua awaponi ata kwa dawa

Sishangai maana CDM leo ina wanachama wengi kuliko ilivyoanza na tayari tupo kuakikisha kinakua,hawa waliokulia kwao alafu wakahamia ujombani tuelewe ipo siku watarudi kwao maana ujombani siyo kwenu,hapa cha msingi ni CDM kutengeneza makambi kwa ajiri ya kutengeneza vijana wake watakaokuwa na itikadi ya chama na ambao watakuwa tayari kukipigania kuliko hizi readymade products kutoka magamba family

Vyama vya siasa vijifunze kutafuta watu waaminifu, na wenye uzalendo wa kweli, watu kama hawa wanaweza kushusha sifa ya chama kwa kutokuwa wavumili katika harakati!!!

gamba ni gamba tu..kaona dili zake haziendi. anyway, sishangai coz kuna watu wanakuja mjini na kupakimbia!

Kenge ni kenge tu hata arefuke vipi hawezi kuwa mamba. Kenge wengine waliojiingiza ktk kundi la mamba warudi kwa kenge wenzao. Tunahitaji ama ni bora tuwe na mamba wachanga kuliko kuwa na kenge wengi waliokomaa. Kuna msemo usemao kusikia kwa kenge ni kutoka damu masikioni.

<br /
alizoea kupiga makofi bila kuchangia hoja CDM bila kuchangia hola una nafasi.Je yakitokea machafuko ayabagui CCM wa CDM tena yeye ndo wakwanza kunyongwa

ushauri wa bure Kwa CDM: Acheni kuchukua magamba na kuyaingiza ndani. Magamba hayaaminiki hata kama yakiwa ni Makapi

Mkuu, kumbuka kuwa Slaa ameingia CDM kwa mtindo huu huu. Kwa hiyo siyo wanaohamia CDM toka CCM ni makapi. Ndiyo siasa zilivyo. Mtu wa kumkataa asiingie CDM ni mtu aliyefukuzwa CCM kwa ufisadi kama wakina EL na AC

Bora kuwa na viongozi wachache lakini waadilifu kuliko kuwa na rundo halafu wote wala rushwa tu, huyu jamaa alifikiri CDM kuna mianya ya ryshwa, CDM ni kazi tu------aondoke zake msaliti huyu.

Huyo ni mwehu, eti ameona hatuwezi kufikia malengo ya milenia, kabla ya chadema kuanza maandamano walifikia malengo gani, ccm ndo kwa heri tena wananchi hatuna tena imani na magamba, huyo diwani amejichokea tu na aende zake salama, na wewe unayeliita hili ni pigo unanishangaza.

alihamia CDM baada ya kuangushwa kura za maoni ili apate madaraka. Watu wanaokuja CDM kutafuta madaraka kama kina Shibuda hawafai kabisa. Wakati sisi tunapigania uhuru kamili wa Mtanzania, wao wanapigania matumbo yao. Njaa itawaua.

Unaongea Pumba wewe, Slaa alikua chama gani kabla hajakua Magwanda?? Nae alikuja kutafuta madaraka??

Achane waondoke ili tu-balance chama kibaki na watu wanaweza kutufanyia kazi, bado nahitaji sana Wabunge kama wawili hivi nao wajitoe kwa mtindo huo huo, hakika akuna mtu ataondoka Chadema na kuidhulu maana sasa ina nguvu ya Umma si nguvu ya Viongozi kama wanavyofikia hao wapenzi wa CCM ambaowaligombea kwa ticket ya CDM.

CCM ndio inayoishi kwa nguvu ya Watawala, kwa hiyo wao akiondoka mtu ni kama kuondoa nguzo, sisi tunataka viongozi wasiwe ndio chama, chama iwe ni Umma, na viongozi wawe ni watumishi tu! ambao wanaweza kubadilishwa na hata kuondolewa mtu wowote.

Mwanzo wa anguko la NGO ya CDM

Huyo si amesema mwenyewe alikuwa ni gamba,ila tu alikfata madaraka!watu km hao hawatakiwi kwenye chama.2015 Chadema wawe wa kwanza kufanya uteuzi wa wagombea wao ili kuepuka haya makapi yanayokimbilia chamani kwa nia ya madaraka.

Milimwona binti mdogo wa darasa la nne jana ameweka beji ya Dr Slaa kwenye mfuko wake wa madaftari inaning'iniia

Mbona walishaondoka akina Kaborou CDM haijaanguka? Huyu Diwani upeo wake umekaa kimagamba! Ndani ya "utulivu na amani" kuna ufisadi wa kutisha na bila kuwapelekesha mchakamchaka Magamba yatakula bila kufuta midomo!

cdm huru inachukua nafasi yake,ni yenye kizaz cha watu ambao hawakuimba nyimbo za chama wakiwa shulen na watu wanaohitaji ukombozi cio uongozi. Watu wanaohitaji maendeleo na cio kushibisha matumbo!

Back
Top Bottom