tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Naomba wajuzi wa sheria mnijuze mambo ya sheria katika suala hili; nimekamata texts kama 4 za ki-cybersex, texts kali za kingono kwenye sent items ya simu ya mke wangu kwenda kwennye namba ya mwanaume wake (simfahamu ila ni mwanaume ambaye anasema ni bf wake wa zamani). Nimenakili tarehe na muda wa hizo texts maana kwa sasa amefuta. Je, naweza kutumia huu kama ushahidi tosha kuomba kutoa divorce?