Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

500M ni bei ya KITUMBUA CHAKE 🀣 🀣 , kumbe bado yupo na story zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisifye mvua.....!

Ila kweli Mane, tuchapane Tu mtumishi [emoji125]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tutakuwa km mama mtumish Rwakatale na polepole vileπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Elfu hamsini??? bajeti ya kunywa beer kwa siku sitoi....bora ninywe beer tu....
 
Mbona yupo uchi? believe me akiamka kwenye kile kiti utakuta MAVI

Acha uchafu unazeeka vibaya wewe
 
Nawaza bado .kwann aliwaza kupiga picha km hii jamaniπŸ˜…πŸ˜….ila huyu sio mzee...amejitaabisha tu na makeup..zimemkuza zaidi .na kuna mamisuko jaman ukisuka unakuwa mzee..ww nywele unavaa blonde jaman unaweka moto kichwani😏😏!
Alafu kuna picha insta anajiweka sio yy kbs..mfano hii hapa
 
Shingo tu kaaaah...ngoja nirud kuangalia avatani kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…