Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

Idea yake ya kuanzisha channel yake Youtube,ili naye atengeneze hela online ni nzuri.Ila alikosea kwenye misingi hasa kuchagua upande na kuanza kuponda kila kitu cha WCB,baadaye akaja mzingua Kiba.

Sasa hivi anataka kuwa neutral ili aweze kupata contents kutoka WCB ndipo ugumu unapo anzia.Mwenzake Salama Jabir yupo free hayupo kwenye team hizi anapata contents kutoka pande zote.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ nimecheka
 
Level hii ya uchawa unaweza toa hata kiboga
 
Sio njaa ni ukweli usiopingika Diamond ndo the
of bongo fleva .... Hata ukimuona konde boy jina la Mond lazima liongelewe , Hbaba , Mwijaku hawapati airtime bila dmond kinywan mwao
Kwani mimi nimebisha kuhusu Diamond kuwa GOAT?.

Sikutarajia litoke kwa Diva,that's my point..

Diamond akiguswa tu mnalipuka..nyie jamaa vipi?..Mtu ambaye hakubali hustle za Nassibu ni mnafki tu,lakini isitufanye tujitoe akili hivi kumdefend kwenye kila kitu.
 
Alishamtukana Dimond hana hela, mara kakopa hela, alikuwa hajui kizungu na shit kibao.

Namuonea huruma maana najua wote huwa tunafanya makosa na ni kazi ngumu sana kulamba matapishi yako
 
Nayeye atangaze tu kama amepoteza nyau, atatoa milioni ngapi kwa atakayemuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…