Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,102
- 8,006
Kuna jamaaetu anaitwa John huku vingunguti,ni rais wa kikoba.Msiba upi tena jamani
Kuna jamaaetu anaitwa John huku vingunguti,ni rais wa kikoba.Msiba upi tena jamani
Msiba wa nani?
duhHuyu kigagula unaweza dhani ni pisi kali kumbe copy ya mkoko tonombe
Kabla sijamuona Diva enzi hizo nasikia sauti yake tu, nikadhani bonge la pisi, lahaula nikamtia machoni, kidogo nimdai chenji.
😂 😂 nimechekaKiukweli Diamond ndio king...Kujiweka mbali na Diamond au kutomzungumzia ni kujikosesha pesa kwa mwanahabari.
Niwapeni tu story kuna online media moja uko youtube yakuitwa rick media iliingiaga mkataba na hamonaizi waandike habari zake kwa sharti la kutoandika habari za Diamond na Wasafi. Jamaa akawapa mpaka Noah yake ile ili wafanyie shughuli zao. Sasa jamaa wakakaukiwa content Tv yao ikadoda maana usipoandika habari za Diamond watu watazifata zinapoandikwa. Basi jamaa wakaanza kukava ishu za Mondi, Konde akaona msinitanie akaenda kuwapora noah yake 😂😂😂
Level hii ya uchawa unaweza toa hata kibogaKiukweli Diamond ndio king...Kujiweka mbali na Diamond au kutomzungumzia ni kujikosesha pesa kwa mwanahabari.
Niwapeni tu story kuna online media moja uko youtube yakuitwa rick media iliingiaga mkataba na hamonaizi waandike habari zake kwa sharti la kutoandika habari za Diamond na Wasafi. Jamaa akawapa mpaka Noah yake ile ili wafanyie shughuli zao. Sasa jamaa wakakaukiwa content Tv yao ikadoda maana usipoandika habari za Diamond watu watazifata zinapoandikwa. Basi jamaa wakaanza kukava ishu za Mondi, Konde akaona msinitanie akaenda kuwapora noah yake 😂😂😂
Kwani mimi nimebisha kuhusu Diamond kuwa GOAT?.Sio njaa ni ukweli usiopingika Diamond ndo the of bongo fleva .... Hata ukimuona konde boy jina la Mond lazima liongelewe , Hbaba , Mwijaku hawapati airtime bila dmond kinywan mwao
Naona njaa imemkaba kaona amuingie bwana simba kwa mguu mwingine ..
Sasa nimejuaje kama ni copy ya mkoko tonombe?umewahi kumuona live?