Ni DivaDiva ni nani mkuu?
Wanasema cheza na yote ila sio technologia itakuumbuaKumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
Msemo wako nimeupenda nitauchukuaHahaha nchi hii ukiona watu wanagombana ni maslahi yaliyojificha, na ukisifiwa sio wewe bali mkate unaotoa.
Ukiitwa boss sio wewe bali pesa yako inaitwa boss
Very true .... [emoji110][emoji817]Hahaha nchi hii ukiona watu wanagombana ni maslahi yaliyojificha, na ukisifiwa sio wewe bali mkate unaotoa.
Ukiitwa boss sio wewe bali pesa yako inaitwa boss
Ruksa kiroho safi kabisaMsemo wako nimeupenda nitauchukua
Diamond mzee wa minyoosho .Kumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga[emoji23].Behind the scene aliyefanikisha hii issue ni Kusaga, Diamond hakuwa na namna.
Na hiyo hela ya eti analipwa mara 3 siyo kweli.
Nakubaliana na hilo! Diamond asingeweza kumu entertain huyu mbuzi wa kafaraBehind the scene aliyefanikisha hii issue ni Kusaga, Diamond hakuwa na namna.
Na hiyo hela ya eti analipwa mara 3 siyo kweli.
Njaa haina baunsa kbbbk, ikiingia kwenye 18 zako unaweza hata kumuamkia mtoto wa dada yako “shkamoo mjomba wangu”Kumbe ukiwa na chuki nyingi sometime ni sababu ya njaa si alisemaga hawezi kuajiriwa na domo bora akauze bagia shuleni huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njaa haina baunsa kbbbk, ikiingia kwenye 18 zako unaweza hata kumuamkia mtoto wa dada yako “shkamoo mjomba wangu”
Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga[emoji23].
Nakubaliana na hilo! Diamond asingeweza kumu entertain huyu mbuzi wa kafara