Discordant Couple

Discordant Couple

rabeka mwaJ eti nasikia umeniita?mzima?
amu mdogo wangu, naogopa kuendelea kuuchakachua huu uzi kwani ni wa maana sana. Sasa we soma hizo post za juu utaona kuna kitu Smile alikipendekeza kwangu kuhusu Dr. Riwa ndio tukafikishana mpaka hapa mie kuwaita nyie. Ila usisahau na kujifunza ya msingi yaliyozungumziwa humu.
 
Last edited by a moderator:

he he dr anatafuta napendaje madokta!!! Embu kuwa mshenga utukutanishe maana sijawahi hata kugongana nae kwenye sredi
yaani hii topic ngumu sana ukizingatiwa anayezungumxziwa hapa ni mume tena wamezaa mhhh
am speechless
 
Last edited by a moderator:
Umeanza.
Mungu anakulinda unapojilinda

Unakumbumba yule mtume alitaka kutembea kwenye Maji kama Yesu? Alizama japo alikuwa mtume, seuse sie tulio na imani ndogo kulicho mbegu ya shayiri?

sio kwamba waende peku peku! Wajaliane na waheshimiane na Mungu atakuwa kati yao. Mambo ya kwenda peku no! Lazima kila mmoja amjali mwenzie kwani wana mtoto mmoja na huyo mwingine wafanye ivf nadhanhg agha khan kwa tz wanafanya. Maisha na waathirika ni rahisi ili mradi uwe na moyo wa upendo.
 
hiko kithungu hapo kimenizuia nisielewe na kuchangia mada,maana yake ndo nini?pliz

thread ikikuvutia jaribu kusoma na wenzako wameandika nini na utajifunza mengi tu.! Tusipende kusoma coment moja na kuchangia. Hiyo ni couple ambayo mmojawapo ameathirika na mwingine hajaathirika na vvu. Wapo pamoja na wanashirikiana tendo la ndoa either kwa condot au la.
 
umenisaidia lakini kwa masimango,lol!na hiyo condot ni nini?asante lakini
 
Habari zenu wapendwa,

Tumeenda kwa daktari wa kina mama ametuambia tunaweza kupata mtoto wa pili kwa njia ya kujamiina ya kawaida lakini mimi amenipa dawa ambazo zitasaidiwa kupevusha mayai mengi kwa wakati mmoja ili uwezekano wa kupata ujauzito uwe mkubwa.

Jamani naombeni mawazo yenu kuna yeyote aliwahi kufanya hivo akafanikiwa na hakupata maambukizi? Na kitaalam hii ni njia sahihi? Au kuna yeyote anafaham njia nyingine tofauti na hii?

Doctors wa JF naomba mnipe maoni yenu

. Bado kuna risk ya kuambukizwa iwapo utapata mchubuko na shahawa zikamwagwa ukeni na kubaki huko.

Nia salama kabisa ya kuzaa kwa discordant couples ambazo mwanaume ndio muathirika..ni kufanya in-vitro fertilization (IVF)...ambapo mwanaume atatoa shahawa kwa kujicua kwanye chombo maalum, na yai la mwanamke litakuwa harvested, kisha fertilization inafanyika nje...na fertilized egg inakuwa planted kwa mwanamke. Hii huwezi kabisa kupata maambukizi kwa kuwa...VVU wapo kwenye maji maji ya maniii/shahawa, na sio kwenye mbegu (sperm cell), na kwenye IVF wanavuna sperm cell, hivyo huwezi ambukizwa. Problem ni kuwa...IVF ni expensive (sijui economic status yenu, sio expensive sana kwamba its not affordable), lakini ndio salama kabisa...na hizo njia nyingine zilizobaki zinapunguza uwezekano wa kuambukizwa..but still the risk is there.

Karibu kwa maswali zaidi, au hata PM iwapo kuna amabayo hutapenda share jamvini.

Acha kuropokaropoka
*IVF ni njia nzuri But zingatia gharama zake, Mitazamo ya jamii na kiimani nk

*Condom haizui maambukizi ya VVU kwa asilimia100, hii ni sayansi na sio siasa.

Dr Riwa kuna njia nyingine nayo ni "sperm washing"...hebu ielezee kitaalamu kwa njia nyepesi ili wengi wafaidike na ujuzi.
 
Mungu saidia watu wako, huu uzi umenisikitisha saaana.

Hongera sana dada kwa mapenzi ya dhati Kwa mume wako, if it was me... Nafikiri huyo mtoto mmoja angetosha, kama tunatamani sana mwingine tungechukua option ya ku adapt..

Hii ni kujilinda usipate maambukizi as naona kama ni risk sana kushiriki bila kinga.

ent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Acha kuropokaropoka
*IVF ni njia nzuri But zingatia gharama zake, Mitazamo ya jamii na kiimani nk

*Condom haizui maambukizi ya VVU kwa asilimia100, hii ni sayansi na sio siasa.
  1. you cant afford IVF (one time expense) lakini unaweza ku-afford ARV na diet kwa ajili ya hiv+ (lifetime expense). weka budget sawasawa.
  2. who gives a fk about mtazamo wa jamii (outside siblings/parents) kwenye hii situation, unaweka maisha yako rehani kisa unaogopa watu watakuchuliaje. be serious plz.
  3. suala la kiimani ni tricky kidogo lakini unaweza kupata ushauri wa padre/sheikh, changanya na daktari then make a logical decision.
  4. nakiri condom inaweza kupasuka/defective etc lakini chances za kutokea kwake ni ndogo. ni ndogo sana kuliko huo mpango wa kuchanganya madawa ili uweze ku-do kavukavu. hayo madawa yanazuia kwa % ngapi?
 
Dr Riwa kuna njia nyingine nayo ni "sperm washing"...hebu ielezee kitaalamu kwa njia nyepesi ili wengi wafaidike na ujuzi.

sperm washing kuna chemical zinatumika kuondoa majimaji ya kiume zikiacha viability ya sperms kwa ajili ya fertilization. Ni gharama sana hii technique na nadhani kwa huku kwetu iko south. Ivf hata agha khan wanafanya
 
he he dr anatafuta napendaje madokta!!! Embu kuwa mshenga utukutanishe maana sijawahi hata kugongana nae kwenye sredi
yaani hii topic ngumu sana ukizingatiwa anayezungumxziwa hapa ni mume tena wamezaa mhhh
am speechless
Smile nimemaliza kazi! Njoo uendeleze nilipoishia.
 
Last edited by a moderator:
Dr Riwa kuna njia nyingine nayo ni "sperm washing"...hebu ielezee kitaalamu kwa njia nyepesi ili wengi wafaidike na ujuzi.

Ahsante da Tausi Mzalendo for bringing this up....'Sperm Washing' inatumia the same phenomenal kama IVF, that VVU wapo kwenye maji maji ya shahawa (seminal fluid) na sio kwenye mbegu (sperm cell). Kinachofanyika ni kuwa...mwanaume anajichua anatoa shahawa, halafu inatumika technique kama ya kwenye IVF kuseparate sperm cells from seminal fluid...ila badala ya kuharvest yai kama inavyofanyika kwenye IVF...hapa zile mbegu zilizooshwa humwagwa kwenye uke wa mwanamke ambaye yuko kwenye siku za kupata uja-uzito (danger days...sipendi kuziita hivi), na mwanamke anabeba mimba kama kawaida.

NB: Bado hii haijathibitishwa kisayansi kabisa kuwa haina risk kabisa, japo tafiti nyingi zimeshafanyika...bado tafiti zaidi zinahitajika (rejea article niliambatanisha hapo chini). Wasiwasi ni kuwa....japo vijidudu vya VVU haviko kwenye sperm cells, lakini vinaweza infect cells nyingine kwenye shahawa ukiacha sperm cells, na wakati wa 'sperm washing', hizi cell nyingine ambazo zinaweza beba VVU zinaweza zikabaki. Hivyo zinapomwagwa kwa mwanamke, kuna risk ya kumuambukiza. Hili halipo kwenye IVF, kwani yenyewe inachagua sperm cell yenye afya, na kuiunganisha na yai la kike lenye afya..then linapandikizwa.

[h=1]Sperm washing to prevent HIV transmission from HIV-infected men but allowing conception in sero-discordant couples.
Eke AC, Oragwu C.[/h][h=3]Source[/h]Department of Health Policy and Management, Masters in Public Health (MPH), Harvard School of Public Health (HSPH), 677 Huntington Avenue, Boston, Massachusetts, USA, 02115.

[h=3]Abstract[/h][h=4]BACKGROUND:[/h]Sperm washing is a term used to describe the process in which individual spermatozoa are separated from the seminal fluid. Sperm washing is used to prevent HIV transmission but allow conception in sero-discordant couples, where the male is HIV positive, but the female is HIV negative. This procedure is based on the observation that HIV cannot attach itself to spermatozoa, but it can be found in the fluid and cells surrounding spermatozoa.
[h=4]OBJECTIVES:[/h]To determine the benefits and harms of sperm washing of HIV-infected males when used to prevent the transmission of HIV but allowing conception in the HIV-negative female.
[h=4]SEARCH STRATEGY:[/h]We searched the Cochrane HIV/AIDS Group Controlled Trials Register, the Cochrane Central Register of Controlled Trials, MEDLINE, EMBASE, SCORPUS, AIDsearch, AJOL, LILACS and INDEX MEDICUS. We also searched the following conference proceedings for relevant abstracts:The International AIDS Conference; The Conference on Retroviruses and Opportunistic Infections (CROI); The British HIV Association (BHIVA) Conference; The International Conference of Obstetricians and Gynecologists (FIGO); The American Academy of HIV Medicine Conference; The Australasian HIV/AIDS Conference; The American Society for Reproductive Medicine (ASRM) conferences and website; The European Society for Human Reproduction and Embryology (ESHRE) conferences and websites, and the British Fertility Society (BFS) conferences and website. We also conducted a search of the website: Home - ClinicalTrials.gov. The date of the most recent Cochrane HIV/AIDS Group Controlled Trials Register search was on the 10th of November, 2010.
[h=4]SELECTION CRITERIA:[/h]We preferentially looked for randomised or quasi-randomised controlled trials on sperm washing, aimed at preventing HIV transmission from HIV infected men but allowing conception in sero-discordant couples, irrespective of publication status, year of publication, or language in the review.
[h=4]DATA COLLECTION AND ANALYSIS:[/h]No relevant trials were identified for inclusion in this review.
[h=4]MAIN RESULTS:[/h]Forty four studies were identified, but none of them were suitable for inclusion in this review.
[h=4]AUTHORS' CONCLUSIONS:[/h]Reports on the use of sperm washing to prevent HIV transmission from HIV infected men but allowing conception in sero-discordant couples is currently limited to observational studies. No randomised controlled trial has assessed the benefit or risk of sperm washing to prevent HIV transmission from HIV infected men but allow conception in sero-discordant couples. Thus, this systematic review identifies the need for a multicentre randomised controlled trial assessing the benefits and possible risks of sperm washing in preventing HIV transmission from HIV infected men but allow conception in sero-discordant couples.
 
Habari zenu wapendwa,

Naomba msaada, mimi na mme wangu ni discordant couple, tuligundua miaka 2 ya nyuma wakati mimi mjamzito na tulipoenda kupima ndio tukapata majibu hayo, tuna mtoto 1 na sasa hivi tumefikiria kupata mtoto wa 2, tangia tumegundua hilo tunatumia condom tu mpaka leo hii.

Tumeenda kwa daktari wa kina mama ametuambia tunaweza kupata mtoto wa pili kwa njia ya kujamiina ya kawaida lakini mimi amenipa dawa ambazo zitasaidiwa kupevusha mayai mengi kwa wakati mmoja ili uwezekano wa kupata ujauzito uwe mkubwa.

Jamani naombeni mawazo yenu kuna yeyote aliwahi kufanya hivo akafanikiwa na hakupata maambukizi? Na kitaalam hii ni njia sahihi? Au kuna yeyote anafaham njia nyingine tofauti na hii?

Doctors wa JF naomba mnipe maoni yenu

:shut-mouth:ndugu yangu tulia na mtoto huyohuyo mmoja..utaenda kuyatafuta mengineeeee...km MUNGU alikubariki hukuambukizwaa mshukuru kwa hilo hiyo unayotaka kufanya ni kumjaribu,ukiupta utamlaum kwann hajakulinda?..unauona moto na unaukimbilia kuukanyaga....hell no my dia...ungekua huna mtoto kweli lkn unae...hapo prbability ni 80%..ENDELEA KUINJOY DUSHELELE na condom BANAAA....we unadhan na wewe ukipata nani atalea watoto wenu..THINK TWICE n endelea kumpenda mmeo
 
Aisee,!! kwanza hongera sana mdada some situations are so difficult, yours is among them. Pili shukuru Mungu kwa kuwapa huyo mtoto mwenye afya, mleeni huyo mtoto nyie endeleeni ku do kwa condom. kama nilazima sana kwenu mpate mtoto mwingine go for IVF, otherwise do not take chances.
 
Nawashukuru wote mliochangia mada hii mbarikiwe sana tena sana, Kongosho hii hali ni ngumu sana lakini ukikutananayo mungu atakupa wepesi pia wa kuweza kukubaliananayo, Wapendwa mimi nina uhakika pia 100% kama mimi ndie ningekuwa positive ningeshaachwa lakini sitaki kulipa hilo maana mimi moyo huo kwangu hauna nafasi zaidi namuomba mungu tu aendelee kunihepusha mimi na mtoto pia ili tuweze kumudu kumsaidia mr. na kumuondoa mawazo zaidi. Shukrani zangu ziwaendee waliochangia wote na DR. Riwa ubarikiwe sana
 
There are currently 22 users browsing this thread. (4 members and 18 guests)

back to topic mi nashauri abaki tu na huyo mtoto alieko nae maana katika kutafuta huko anaweza kukutana na mengine mazito!
by the way tuwe honest! hivi walipopima majibu yangekuwa mwanaume negative na mwanammke ndo yupo positive hii ndoa ingekuwepo kweli?

Lol! too subjective, yaani wewe unaona wanaume ndio roho mbaya?? jirekebishe
 
Nawashukuru wote mliochangia mada hii mbarikiwe sana tena sana, Kongosho hii hali ni ngumu sana lakini ukikutananayo mungu atakupa wepesi pia wa kuweza kukubaliananayo, Wapendwa mimi nina uhakika pia 100% kama mimi ndie ningekuwa positive ningeshaachwa lakini sitaki kulipa hilo maana mimi moyo huo kwangu hauna nafasi zaidi namuomba mungu tu aendelee kunihepusha mimi na mtoto pia ili tuweze kumudu kumsaidia mr. na kumuondoa mawazo zaidi. Shukrani zangu ziwaendee waliochangia wote na DR. Riwa ubarikiwe sana
karibu sana my dear,nashukuru kwa vile umeliweka ssuala lako hili wazi tupo pamoja ukipata shida yoyote usisitu kuje hapa. naomba ushauri wa dokta riwa uuchukulie maanani...usifanye bila mpira kamwe riski ya kupata ni kubwa..love u !
 
Lol! too subjective, yaani wewe unaona wanaume ndio roho mbaya?? jirekebishe
Nawashukuru wote mliochangia mada hii mbarikiwe sana tena sana, Kongosho hii hali ni ngumu sana lakini ukikutananayo mungu atakupa wepesi pia wa kuweza kukubaliananayo, Wapendwa mimi nina uhakika pia 100% kama mimi ndie ningekuwa positive ningeshaachwa lakini sitaki kulipa hilo maana mimi moyo huo kwangu hauna nafasi zaidi namuomba mungu tu aendelee kunihepusha mimi na mtoto pia ili tuweze kumudu kumsaidia mr. na kumuondoa mawazo zaidi. Shukrani zangu ziwaendee waliochangia wote na DR. Riwa ubarikiwe sana
...toka kwa mleta mada
 
- Couple ya kwanza walikuwa walokole wawili, walikuwa wanataka kuoana, hivyo wakaja pima afya zao. Nikawapa ushuria nasaha na wakawa tayari kupokea majibu...mdada akawa positive, na kaka negative. But kaka akasema atamuoa huyo dada, na watasali ataponywa au atalindwa hasipate maambukizi. Nikwaelekeza jinsi ya kujilinda but kaka akasema no need, sala zitawalinda. Nikasikitika. Nikawa nawafuatilia, wakaoana, wakawa wanakutana kimwili bila kinga, na baada ya miezi ^ kaka akawa positive. Alilia sana lakini ndio hivyo, sasa wako wanatumia dawa, wana mtoto mmoja hasiye na maambuki kwani dada alipopata ujauzito alifuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto!

- Couple ya pili walikuwa wanandoa, mdada alijifungua, lakini akaumwa sana baada ya kujifungua, nilipowaona alikuwa na dalili za HIV, nikawapa ushauri nasaha wakakubali kupima, na majibu ni kuwa dada ni positive, na kaka ni negative, dada aliendelea kuugua kwa muda lakini alifariki baadaye...lakini yule kaka wakati wote wa alimuuguza mkewe kwa mapenzi makubwa..nilikuwa nikimuona wodini nilikuwa natamani kama ndoa zote zingekuwa na upendo vile, bahati mbaya mtoto ameambukizwa (kwa kuwa hawakujua na hawakufuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto)...baba yupo, bado negative anamlea na kumuuguza mwanae. Mtoto ana miaka 8 sasa, anasoma.[/QUOTE]

Mungu Tuepushie haya majanga, na utulinde, Na pia tupe moyo wa ujasili na upendo pale yatakapotukuta.

Ingekuwa Amri yangu Kikombe Hichi Nisingekunywa Lakini kwa Mapenzi yako Ninakinywa"
Kwa ss wanadamu ingekuwa mapenzi ni yetu nafikiri tusingekubali ugonjwa huu uwepo lakini kwa sababu ya mapenzi yake hatuna jinsi ni kukubali tu.

Asante sana Dr Riwa kwa ushauri mzuri ingawa unatia simanzi nzito sana maana hata sisi kwenye familia zetu yametukuta na tumebakiwa na yatima .
 
Back
Top Bottom