Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,955
Mkuu Smile nipo kwenye nchi za baridi huku bibie...............hiyo avatar na fani yako havifanani mkuu.. itoe
Last edited by a moderator:
Mkuu Smile nipo kwenye nchi za baridi huku bibie...............hiyo avatar na fani yako havifanani mkuu.. itoe
bibiempendwa na hiyo je.@Smile ?hiyo avatar na fani yako havifanani mkuu.. itoe
sumu haijaribiwi kwa kuonja. nimesikitika na uamuzi aliochukua huyo kaka na ninatumaini itakuwa fundisho kwa wengine. using dawa haivunji imani yako kwa Muumba wako, religious zeals bado wana "imani potofu".....
- Couple ya kwanza walikuwa walokole wawili, walikuwa wanataka kuoana, hivyo wakaja pima afya zao. Nikawapa ushuria nasaha na wakawa tayari kupokea majibu...mdada akawa positive, na kaka negative. But kaka akasema atamuoa huyo dada, na watasali ataponywa au atalindwa hasipate maambukizi. Nikwaelekeza jinsi ya kujilinda but kaka akasema no need, sala zitawalinda. Nikasikitika. Nikawa nawafuatilia, wakaoana, wakawa wanakutana kimwili bila kinga, na baada ya miezi ^ kaka akawa positive. Alilia sana lakini ndio hivyo, sasa wako wanatumia dawa, wana mtoto mmoja hasiye na maambuki kwani dada alipopata ujauzito alifuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto!
true love! nimempenda huyo kaka na namuombea Mungu ampe nguvu za ku-cope na mwanae.- Couple ya pili walikuwa wanandoa, mdada alijifungua, lakini akaumwa sana baada ya kujifungua, nilipowaona alikuwa na dalili za HIV, nikawapa ushauri nasaha wakakubali kupima, na majibu ni kuwa dada ni positive, na kaka ni negative, dada aliendelea kuugua kwa muda lakini alifariki baadaye...lakini yule kaka wakati wote wa alimuuguza mkewe kwa mapenzi makubwa..nilikuwa nikimuona wodini nilikuwa natamani kama ndoa zote zingekuwa na upendo vile, bahati mbaya mtoto ameambukizwa (kwa kuwa hawakujua na hawakufuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto)...baba yupo, bado negative anamlea na kumuuguza mwanae. Mtoto ana miaka 8 sasa, anasoma.
thax dear ,umeona eeeh..uyu dk anataka mpenzi mtoe basi mwaj
dunia ina mambo sana mkuusumu haijaribiwi kwa kuonja. nimesikitika na uamuzi aliochukua huyo kaka na ninatumaini itakuwa fundisho kwa wengine. using dawa haivunji imani yako kwa Muumba wako, religious zeals bado wana "imani potofu"
true love! nimempenda huyo kaka na namuombea Mungu ampe nguvu za ku-cope na mwanae.
mi sio mdogo wako niombe radhi binti! msaidieni dr jamani ona anatelekeza na hosptal kushinda huku mmu ila wapiDuh! Nawe mdogo wangu Smile mbona unanitania? Mie dada yenu jamani nilishakamilisha hizo hatua kitambo. Nilikuwa nawategemea nyie wadogo zangu mumtoe halafu we unaniambia mie? Atapata tu wa kumtoa.
Kongosho umeuliza swali la msingi sanaAm speechless!
Naomba niende nje ya topik, maana natetemeka kwa hofu. Unajamiiana na unaenjoy kabisa? ama unafanya kama obligation?
Kwenye kupata watoto, hamwezi pata mtoto kwa kupandikiziwa wewe mbegu za mmeo bila kukutana kimwili?
On the other hand, why mtoto mwingine? Angalau mnaye mmoja. Adoption can be an option too.
jogoo la "kisasa" linakushinda, ungekuwa na orijino je?Maana under my normal sanity, sidhani kama jogoo wangu atawika
sio hicho tuu. imagine things like small cuts and bruises zinvyoweza kukurusha roho, ukijumlisha diet inayotakiwa kumaintain afya... wee acha tu. mi naona hawa hiv+/hiv- couples wamepewa upendo na ujasiri ambao sisi wengine hatuwezi ku-imagineAm speechless!
Naomba niende nje ya topik, maana natetemeka kwa hofu. Unajamiiana na unaenjoy kabisa? ama unafanya kama obligation?
Kwenye kupata watoto, hamwezi pata mtoto kwa kupandikiziwa wewe mbegu za mmeo bila kukutana kimwili?
On the other hand, why mtoto mwingine? Angalau mnaye mmoja. Adoption can be an option too.
Smile ulivyon'shupalia leo...nakoma!
Tusiende huko kwenye red tafadhali...katika uDaktari wangu nimeona discordant couples nyingi, lakini hizi experience mbili zilinitoa chozi:
- Couple ya kwanza walikuwa walokole wawili, walikuwa wanataka kuoana, hivyo wakaja pima afya zao. Nikawapa ushuria nasaha na wakawa tayari kupokea majibu...mdada akawa positive, na kaka negative. But kaka akasema atamuoa huyo dada, na watasali ataponywa au atalindwa hasipate maambukizi. Nikwaelekeza jinsi ya kujilinda but kaka akasema no need, sala zitawalinda. Nikasikitika. Nikawa nawafuatilia, wakaoana, wakawa wanakutana kimwili bila kinga, na baada ya miezi ^ kaka akawa positive. Alilia sana lakini ndio hivyo, sasa wako wanatumia dawa, wana mtoto mmoja hasiye na maambuki kwani dada alipopata ujauzito alifuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto!
- Couple ya pili walikuwa wanandoa, mdada alijifungua, lakini akaumwa sana baada ya kujifungua, nilipowaona alikuwa na dalili za HIV, nikawapa ushauri nasaha wakakubali kupima, na majibu ni kuwa dada ni positive, na kaka ni negative, dada aliendelea kuugua kwa muda lakini alifariki baadaye...lakini yule kaka wakati wote wa alimuuguza mkewe kwa mapenzi makubwa..nilikuwa nikimuona wodini nilikuwa natamani kama ndoa zote zingekuwa na upendo vile, bahati mbaya mtoto ameambukizwa (kwa kuwa hawakujua na hawakufuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto)...baba yupo, bado negative anamlea na kumuuguza mwanae. Mtoto ana miaka 8 sasa, anasoma.
jogoo la "kisasa" linakushinda, ungekuwa na orijino je?
sio hicho tuu. imagine things like small cuts and bruises zinvyoweza kukurusha roho, ukijumlisha diet inayotakiwa kumaintain afya... wee acha tu. mi naona hawa hiv+/hiv- couples wamepewa upendo na ujasiri ambao sisi wengine hatuwezi ku-imagine