ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,079
Kabisa yaanNimependa sana maelezo ya Dr. Riwa..!!
Natumaini yatamsaidia huyu dada..!!

Asante kwa information! Imetusaidia wengiSamahanini kwa kuchelewa kuitikia wito..Smile, Dr Riwa is single and searching, usiwe na wasi kuwepo kwangu kule nikisalandia dogo dogo!
Tuache utani, am serious now....kwanza pole da Laussane na hongera kwa ujasiri wako na mapenzi ya kweli kwa mumeo, si wanawake/wanaume wengi hubaki na wenzi wao pale mwenza anapokuwa ameambiukizwa VVU. Hongera sana. Nilishawahi kuongelea discordant couples humu, nimetafuta ule uzi wala sikukumbuki tena, sijauona. Ila naomba niwe specific kwa scenario hii yako.
Ni kweli discordant couple wanaweza pata mtoto hasiye na maambukizi ya VVU na pia bila mama kuambukizwa (kama Baba ndiye muathirika kama kwenye scenario hii). Tatizo ni kuwa, mwanamke kutokana na maumbile yake, ana risk kubwa zaidi ya kuambukizwa akikutana na mwanaume mwenye VVU, kiliko ambavyo mwanaume anaweza kuambukizwa akikutana na mwanamke mwenye VVU. Na hii ni sababu...uke una ngozi laini kulinganisha na na ngozi ya uume, hivyo ni rahisi kuchubuka. Pia Kutokana na maumbile, manii (shahawa) humwagwa ukeni, na VVU huwa kwenye majimaji ya shahawa, kama kuna mchubuko wa ngozi ya uke (ambayo ni delicate), then shahawa zina muda wa kutosha wa kupenya na kuinfect mwanamke. Condom huzuia shahawa kumwagwa ukeni na hivyo kumkinga kukukinga.
Utakapoacha kutumia Condom ili mzae, hiyo effect niliyoelezea hapo juu bado inahold. Kupewa dawa za kupevusha mayai ready for fertilization, inaongeza uwezekano wa wewe kushika mimba at first attempt, na hivyo kutapunguza ninyi kujaribu jaribu mara nyingi ili kupata ujauzito kwani kufanya hivyo kunakuongezea risk ya kuambukizwa....but still, dawa hizo hazikuzuii kuambukizwa katika hiyo first attempt. Bado kuna risk ya kuambukizwa iwapo utapata mchubuko na shahawa zikamwagwa ukeni na kubaki huko.
Nia salama kabisa ya kuzaa kwa discordant couples ambazo mwanaume ndio muathirika..ni kufanya in-vitro fertilization (IVF)...ambapo mwanaume atatoa shahawa kwa kujicua kwanye chombo maalum, na yai la mwanamke litakuwa harvested, kisha fertilization inafanyika nje...na fertilized egg inakuwa planted kwa mwanamke. Hii huwezi kabisa kupata maambukizi kwa kuwa...VVU wapo kwenye maji maji ya maniii/shahawa, na sio kwenye mbegu (sperm cell), na kwenye IVF wanavuna sperm cell, hivyo huwezi ambukizwa. Problem ni kuwa...IVF ni expensive (sijui economic status yenu, sio expensive sana kwamba its not affordable), lakini ndio salama kabisa...na hizo njia nyingine zilizobaki zinapunguza uwezekano wa kuambukizwa..but still the risk is there.
Karibu kwa maswali zaidi, au hata PM iwapo kuna amabayo hutapenda share jamvini.
Dr riwa asante kwa maelezoSamahanini kwa kuchelewa kuitikia wito..Smile, Dr Riwa is single and searching, usiwe na wasi kuwepo kwangu kule nikisalandia dogo dogo!

Couple ambapo mmoja wapo ana VVUmsamiati ndio umeniacha njia panda,Discondant Couple ndio couple ya namna gani,nijuzeni na mimi nijue
aah ok,ahsante sana mkuu umenipa mmarifa leo,ubarikiweCouple ambapo mmoja wapo ana VVU