Wakuu hivi kuna member humu alishawai pata hiyo kitu au aulishawai. Hii encounter kitu kama hicho hata kwa mtu wa chuo kimoja? Vp taratibu zake pale TCU?
Kwa sasa vyuo vingi vina banwa na tcu..kupeleka majina ya wanafunzi kila mwanzo wa mwaka..hivyo usajiri kwa wakati ni muhimu ili kuwa na database ya wana funzi kwa mwaka.
Kwa kuliona hilo vyuo vinawataka wanafunzi kujisajiri mapema..kushindwa kufanya hivyo ni sawa na kupoteza nafasi yako..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.