Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,915
Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
 
Ni kweli ila malipyoto ndio watamshambulia kwa matusi
 
Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
Huyu jamaa ana cheo gani serikalini au huko ccm ?
 
Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
Huyo ndio anakula hii nchi amerudi tena yaani this time mpaka inzi watakufa hii sio vita bali vita ya dunia ya chama yetu macho na maombi
 
wapinzani hatarishi kwa nchi wauawe tu na kuliwa kiboga iwe fundisho
Wakiwaua waseme wamewaua siyo kusumbua jamii kuanza kuwatafuta wakisema hawajui walipo. Wakifanya hivyo bila kutoa taarifa na makosa yao na wao wanaingia kwenye list ya watu hatarishi kwa nchi.
 
Team
Kanukuu mambo mengi
  • Amani ya nchi
  • Usalama wa nchi
  • Kuwekeza ktk raslimali watu
  • Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
  • Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini
  • Utulivu wa kisiasa
  • Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje

Kasema vizuri maybe wasimwelewe tu. Nasi tunakazia amani na utulivu viwe key to our national development
Vipi umepitishwa ili uje ukazie Bungeni!?,Ni jambo jema ikitekekezwa kwa usahihi na kuwa muendelezo
 
Back
Top Bottom