Achana na bidhaa za kuuzwa. Kuna fee inalipiwa ya utalii kwenye hija packages. Ni sawa na mgeni anavyokuja serengeti ama mlima kilimanjaro
Mbona unajikanganya hapo!!!--- Mahujaji sio mtalii, kama mtu atakwenda kwa ajili ya utalii baada ya kufanya Hijja huyo anapaswa alipe hiyo kodi ya utalii na hilo sio kosa, tofautisha kati ya utalii na Hijja.
Huna hoja ila ni kutukana tu.Anahoja gani..kama sio wenda wazimu umemjaa..atwambie neno mbona hicho kiswahili au kichina nacho kimetokana na kiarabu.
Uislamu ni utamaduni wa waarabu..yeye mmatumbi kaingizwa chaka..kwa kufanyiwa mental slave and brainwash.
#MaendeleoHayanaChama
Kiarabu,Kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili ni lugha za asili moja ya lugha ya Kisemiti.Ukiwa mjinga utaelimishwa..ila ukiwa mpumbafu ni tatizo kwa jamii..shida huna akili na uliyonayo kidogo imevurugwa nanwaarabu.
#MaendeleoHayanaChama
Hija ni uchumi wa dunia nzima.Kuanzia hujaji anapoanza safari yake,katika nchi anayotoka.Lowassa alisema elimu, elimu, elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi
Embu bishana kwa fact kwamba serikali ya saudi arabia haipati mapato ama faida za kipesa kupitia Hija.. kama dini ni ya Mungu na Hijja sio biashara kwa nini wanachaji watu pesa nyingi kwenda kuhiji? Why nchi ya saudi arabia ipate mapato ya watu wa Mungu. Serikali ya Saudi inakusanya mapato ya watalii wanaokuja Hijja kisha inanunua silaha na kuua waislamu wenzenu yemen, syria , kashoggi etc
HAYA BISHANA NA ARTICLE HIYO NA FACTS ZA WAISLAM WENZAKO WALIOWAHI KWENDA HIJA
Pilgrimage is essential to Saudi Arabiaβs economy and worth $12 billion annually. Currently, it makes up 20 percent of Saudi Arabiaβs non-oil GDP, and is only expected to grow with the rise of more luxury hotels around the holy mosque.
Hajj pilgrims are also required to buy a Hajj package ranging anywhere from $1,000 to $20,000 or higher depending on hajj fees, accommodations, distance and the like.
Hajj packages used to cost three to four thousand dollars only five years ago,β says Issam Qaddoura from Canada.
βNow they cost at least $10,000. A flight from my city to Jeddah only costs a $1,000. Why is it so expensive? It would be cheaper to go on my own, but I canβt. Something is wrong with the pricing.
In late April 2019, Libyaβs most prominent Muslim Sunni cleric, Grand Mufti Sadiq al Ghariani, called for all Muslims to boycott the Hajjβthe obligatory pilgrimage of Muslims to Mecca.
In a minority view, he claimed that anyone who carried out a second pilgrimage was doing βan act of sin rather than a good deedβ.
The reasoning was simple. Saudi Arabiaβs economy supplies arms and militarily attacks Yemen, and is indirectly implicated in Syria, Libya, Sudan, and Iraq.
Ghariani emphasised that investing in the Hajj would βhelp Saudi rulers to carry out crimes against our fellow Muslimsβ.
But Ghariani isnβt the only cleric whoβs taken a stance against the Hajj. Yusuf al Qaradawi, one of the most prominent and highly acclaimed Sunni scholars and a vocal critic of Saudi Arabia, made a fatwa in August 2018 which called for consciousness towards spending on the pilgrimage.
Saudi Arabiaβs King holds the honorary title of βCustodian of the Two Holy Mosquesβ, handed down for generations. In todayβs times, some pilgrims see the title as less than honorary, and more an iron grip on profit at the expense of religious legitimacy.
Lowassa alisema elimu, elimu, elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi

Lugha zote zimeanza kutoka mashariki ya kati,kiarabu,kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili zote ni Kisemiti.Sure, Allah ashauriwe kujifunza lugha mpya, aendane na Dunia. Abadilike.
Kiarabu,kiebrania,kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili ,zote na nyingine nyingi asili yake ni Kisemiti.Hapo ndio uelewe kiarabu kimeenea sana,kupitia hizo lugha.Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?
Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.
Unasema hakuna kabila wala dini yoyote ambayo haitumii maneno ya kiarabu, unaweza kunionyesha mameno ya kiarabu kwenye lugha ya kichina ama kijapani? Ama unaweza kunipa maneo ya kiarabu kwenye kigiriki?
Unasema lugha ya kiarabu iko kwenye lugha zote Duniani halafu unatolea mfano kiswahili na kingereza, hizo ndio lugha za Dunia?
Wewe taahira hujui kua china ina namba zake mona hadi kumi ama kwa kua umekaririshwa msikitini na wajinga wenzako basi unakuja kuleta huo ujinga hapa.
Cha kukushauri, mwambieni allah ajifunze lugha nyingine, Dunia imebadilika sana abadilike, ajifunze hata kijaluo ama hata kisambaa au kijerumani.
Kwani wakija kuhiji pale dodoma kunatatizo gani..Mungu huyu bana..daa
Hija ni uchumi wa dunia nzima.Kuanzia hujaji anapoanza safari yake,katika nchi anayotoka.
Kuanzia usafiri,malazi,mavazi,kula,kulala na kodi za serekali husika,mpaka ticket ya ndege,kwenye International Airport ya nchi yake,mote humo analipia na kuingiza mapato ya nchi.
Lugha zote zimeanza kutoka mashariki ya kati,kiarabu,kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili zote ni Kisemiti.
Ona hili naloSio tu ni lugha bora, ndio lugha pekee anayoisikia na kuielewa Allah.
Sada hata akikashifu utamfanyaj we mama? Mmeshindwa kuomba albadir wamaerkani wanawaua kila siku kama kukiNaona unafungua hii thread ya pili ili tu kuukashifu uislamu uislamu unaokoteza vipost vyako uko unatuletea apa aliyekuambia tumeimizwa kujifunza lugha ya kiarabu na kuacha nyingine ni nani?
Una maana pamoja na ushetani wao, waarabu wote wataingia peponi? Walikufanya nini hadi uwaabudie hivi? Je unajua namna waarabu wanavyobagua waswahili? Kama unajua kimombo basi bonyeza hii Uncovering anti-Blackness in the Arab world
Nakubaliana naweDini ni utamaduni tu.
Umemaliza mjadala,ndio ukweli.Watu wengi duniani ,wanatumia kiarabu,kwa kujijua au bila kujijua.To be ptecise, Lugha zote zimechipuka kutoka katika KIARABU. kiarabu ndio mama wa Lugha zote.
Uislam na Ukristo ni laana kwa waswahili jua hili mwananguNamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam
Mkuu wewe ni tajiri?Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.
Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.
Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.
Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni[emoji23][emoji23].
Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri
π π π πmkuu wewe ni tajiri?