Dini zinavyoharibu watu akili

2:102...wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil.
 
Kidogo nimeanza kuelewa sasa πŸ˜‚ kwanin wamisionari walikuja Kama watangulizi wa kikoloni. Ila niwaombe kuhusu dini kila mmoja ana Imani yake inayomtangulia baada yake tukifanya Mambo na hivyo kuhusu Aya Mambo yatatupotezea wakat bure na wanao endelea kusema hii ni Bora kura hii bado hawajakomaa kiakili na fikra wewe ni mwafrika na ni mtanzania kutoka uko ndani ndan unapataje ujasiri wa kusema hii ni bora alafu sio kwenu sijui wana uhakika gan?
Bwana Ugm bin champion 🀝 Mambo ya dini ni mficho mtupu ila nikuombe Iman yako ya kweli iweke moyon mwako ata wakikuita kafir jua everyone has power of selection na kuamin kile anacho ona sahih Kama wanaamin Ivo all the best na iyo Imani.
 
Uongo unakomaza roho ya kishetani kwani Uongo ni kazi ya Shetani.
Huwa unasoma maandiko Yako au una type tu , Allah karuhusu mpaka uongo , Kuna uongo wa takiya , Kuna uongo wa mke na mume wote kawaruhusu kusema uongo na Kuna uongo kwenye vita karuhusu na uongo kwenye kuwadanganya watu ili wapatane

Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Unajua Kwa Nini umekata Aya ? Allah aliwatuma harut na marut kwenda Babylon kufundisha watu uchawi embu bisha hilo kwanza

Mimi nikadhani utapinga hiyo aya japo nimeiandika nusu!!--- nimeiandika nusu kwasababu sehemu hiyo ndio muktadha wa mada, wewe umeongopa kwamba Allah ndiye aliyeleta uchawi kupitia Malaika Haruta na Maruta kinyume chake aya inasema ni Shetani ndiye aliyefundisha/aliyeleta uchawi, kama nimeongopa basi wewe andika aya yote tuisome ili tuthibitishe kama nimesema Uongo.
 
Haruti na Maruti walikuja kufundisha nini?
 
2:102...wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil.

Unanishutumu mimi kwa kuandika aya nusu!!!, je wewe hapo umefanya nini??--- hebu abdika aya yote ili ufundishwe "the subject matter" ya hiyo aya, wewe unadhani Qur'an "inashikwa na kila mtu??" (grasping its meanings by everyone)?? Ω„Ψ§ ΩŠΩ…Ψ³Ω‡ Ψ§Ω„Ψ§ Ψ§Ω„Ω…Ψ·Ω‡Ψ±ΩˆΩ† inashikwa na watu waliotakasika.
 
Haratu na marut walitumwa na Allah kifundisha nini?
 
Unakimbilia vitu usivyovijua??!!🀣🀣-- hebu soma hapa chini uone Wakristo wenzako wenye akili wanachosema::-

Haratu na marut walitumwa na Allah kifundisha nini?

Andika aya nzima hapa na tuisome ndipo tutajua walikuja kufanya nini, kwanini tuandikie mate na wino upo!!😏
 
Unakimbilia vitu usivyovijua??!!🀣🀣-- hebu soma hapa chini uone Wakristo wenzako wenye akili wanachosema::-

View attachment 2317392
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapa tunanukuu vitabu

Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Andika aya nzima hapa na tuisome ndipo tutajua walikuja kufanya nini, kwanini tuandikie mate na wino upo!!😏
Ni rahisi sana , harut na marut walitumwa kufanywa nini???
 
Kwani Hicho kitabu kimeshushwa na Mungu??-- na ndio maana hata mimi in the same line of thinking nimekupa hiyo nukuu kutoka katika maandiko ya mkristo mwenzako anayezungumzia Lie, untruth, falsehood and deception ni kitu gani na ni wakati gani vinakuwa ethical na unethical ??--- msome kwanza huyo ndugu yako Mkristo mwenye akili ndipo upate nguvu ya kuhoji mambo ya "jirani yako".
 
Ulisema muongo ni shetani muhammad amethitisha muongo ni Allah
 
Haujui Koran umekuruhusu kusema uong.?
Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Ni rahisi sana , harut na marut walitumwa kufanywa nini???

Ni rahisi sana, andika aya yote ndipo tutajua walikuja kufanya nini!!-- mbona wakati mwingine huwa unanukuu aya za Qur'an na hadithi kirahisi!!!, vipi unashindwa nini kuleta aya hii ya (Qur'an 2:102) ili sote tuisome??, kumbuka ukiiketa yote tutamjua nani ni muongo kati ya mimi na wewe, halafu ukishikwa Uongo mimi nitakutumia shs 10, 000/= ili ukanywe kahawa kujiliwaza.
 
Wazungu na Waarabu waliwaweza sana waafrika mambumbumbu kwenye suala la dini. Mtu leo hataki kuitwa Machibya eti anaona ni jina la kijinga/kichawi anaona ni vyema kuitwa Peter au Hassan. WTF
Yaan mtu unamuuliza Kati ya Babu yako na yesu/Muhammad nani ameokoa maisha yako Anakwambia yesu/Muhammad. Utadhani hao jamaa walichukua jembe kulima ili familia yao ipate msosi na kuishi. Yaani dini hizi ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea kwenye jamii yetu.

Yaani jitu halina hata sehemu Moja ya ku acknowledge Babu zake. Sijui linadhani limejileta Duniani.
 
Ulisema muongo ni shetani muhammad amethitisha muongo ni Allah

Kwakuwa unamtusi Allah basi mimi najiepusha nawe ili mimi nisiwe ndio sababu ya wewe kuendelea kumtusi, naogopa hasira na adhabu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…