Dini zinavyoharibu watu akili

Kisai na @ Mokaze nani alifundisha uchawi duniani?


Aliyefundisha uchawi ni yule aliyefundisha Uzinzi, wizi, uongo, kushengenya, kuua nafsi isiyo na hatia, dhuluma, aliyeleta upanga na kuvuruga amani kifupi ni yule aliyeleta kila aina ya uovu,, ---- sasa nadhani utakuwa umemjua.
 
umesahau kuna alkasusu [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo akileta mtume anaetumia kiswahili basi atalazimisha watu wote watumie kiswahili wakati anajua kabisa kuna makabila mengine, ama hajui kama kuna makabila ama lugh nyingine? Huyo mola ni mzima kichwani kweli? Huyo ni mola ama mura?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nacheka kama mazuri ila mambo ya jahazi tuyaache jahazini
 
Aliyefundisha uchawi ni yule aliyefundisha Uzinzi, wizi, uongo, kushengenya, kuua nafsi isiyo na hatia, dhuluma, aliyeleta upanga na kuvuruga amani kifupi ni yule aliyeleta kila aina ya uovu,, ---- sasa nadhani utakuwa umemjua.
Allah ndie alileta mafunzo ya uchawi kwa kuwatuma harut na marut wafundishe watu uchawi Koran 2:102
 
Watu wanashindwa kutofautisha Mungu na dini.

Dini (tamaduni)hata sisi tulikua nazo sema zimemezwa baada ya wao kutuletea kwa nguvu coz mwanzoni zilipingwa pia.

Dini ni biashara hakuna jipya.
 
Kwahiyo sasa wew unasalije km huendi kanisani?
Atakuwa ana namna yake ya kuongea na MUNGU wake kukingana na imani yake kuhusu uwepo wa MUNGU.
 
Kwa Nini ulidanganya haumjui Alie leta uchawi?
Sijadanganya, uliuliza swali la kipuuzi. Na hii ni adabu ya kujibu maswali. Unaweza ukaniuliza swali ma ukajua ya kuwa ninajua ila nikakujibu kwamba sijui. Walio kaa kwenye vikao vya kielimu na tena kwa wanachuoni hili wanalijua. Sababu kuna adabu za kuuliza maswali na kujibu maswali.
 
Tumemaliza Allah kaleta uchawi na uchawi huo ukamdhuru muhmmad mpaka akawa schizophrenia
 
Allah ndie alileta mafunzo ya uchawi kwa kuwatuma harut na marut wafundishe watu uchawi Koran 2:102


Wewe ni mshabiki wa kidini wala huna nia ya kujifunza ukweli bali upotoshaji ili kukidhi nia yako ovu na ushabiki tu.

Umeuliza ni nani aliyeleta uchawi mimi nakakutajia sifa zingine kadhaa za mleta uchawi na kwa kifupi nikasema ni yule aliyeleta kila aina ya uovu, hapo nikadhani utakuwa umemjua mleta uchawi ni nani na jina lake ni lipi, kwa mtu yeyote mwema mwenye elimu ya dini bila shaka angalijua mleta Uchawi ni Shetani kinyume chake umekurupuka na kunukuu aya ambayo hata hukuisoma au umeamua kupotosha kishabiki ili ukidhi haja na nia yako ovu dhidi ya Allah na Quran, sasa tuangalie hiyo aya uliyoleta inasemaje juu ya yupi alileta/ alifundisha uchawi na katika hilo leo unasutwa kwa uongo wako.

Aya (2:102) inaanza kwa kusema;

"Na wakafuata yale waliyozua MASHETANI kuuzulia ufalme wa Suleiman. Na wala Suleiman hakukufuru bali MASHETANI ndio waliokufuru WAKIWAFUNDISHA WATU UCHAWI----" (2:102) Qur'an.

Sasa hapo ni wapi imeandikwa kwamba Allah(apishe mbali) alituma Malaika Haruta na Maruta kufundisha uchawi ??!!

Uwe japo na uoga kidogo moyoni mwako juu ya Mungu unapoamua kusema na kusambaza uongo, Uongo unakomaza roho ya kishetani kwani Uongo ni kazi ya Shetani.
 
Unajua Kwa Nini umekata Aya ? Allah aliwatuma harut na marut kwenda Babylon kufundisha watu uchawi embu bisha hilo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…