Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,188
- 26,327
Naam mkuu,,,,mwanaume akimkosea mwanamke Napo kuna namna ya kutoa suluhisho Kwa mujibu wa Qur'an.Na mwanaume akimkosea mwanamke Qur'an inasemaje?
Mimi ndie kiboko wa uongo wa waislamu , hapo kwenye hoja zangu nimeweka mpaka Koran na hadith zote nimeweka hadith number na jina la kitabu tena zote mmeziandika sahih,,,,,nasikitika kukwambia kwamba sitajibu hoja zako kwakuwa wewe ni mpuuzi Sana,,,,huwa unapika data za kupaka Uislamu matope Hali ya kuwa unajua sio sahihi,,,,,unachukua hadith ambazo sio sahihi na Stori ambazo unajisikia wewe mwenyewe kuzipika na kuleta upuuzi wako humu.
Si vyema mkuu kukebehi kama hivi ungemuelimisha kwa hoja zilizo wazi na si kama hivi , unadhani akija na yeye atafanya nini kama si kutukana uislamu ?Ukristo+ushoga ndo maana mapadri hawaowi
Kweli mkuu,,,hata Mimi kuna baadhi ya post niliwaasa ndugu zangu ktk Imani,wakati mwingine unaweza mtukana Mola wako Bila wewe kujua,ukimtukana yeye na akalipiza Kwa kumtukana Allah basi ujue nawe upo ktk hatia.Si vyema mkuu kukebehi kama hivi ungemuelimisha kwa hoja zilizo wazi na si kama hivi , unadhani akija na yeye atafanya nini kama si kutukana uislamu ?
Ningeshangaaa sana kama uyu Mokiti asiwepo kwenye hii mada analeta hadithi zake dhaifu ambazo kwenye sahihi muslim azipoNaam mkuu,,,,mwanaume akimkosea mwanamke Napo kuna namna ya kutoa suluhisho Kwa mujibu wa Qur'an.
Katika 4:128 Aya inasema hivi:
"Na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. Na suluhu ni bora. Na nafsi zimewekewa machoni mwake tamaa na choyo. Na mkifanya wema na mkamchamngu basi hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda."
kwahiyo kama Aya ilivyojieleza hapo juu mwanamke akiwa hatendewi haki na mumewe basi hawana budi kutafuta suluhisho na kuyaweka mambo Sawa,,,lakini Lau suluhisho limeshindikana sasa itakuja hatua ya huyo mwanamke kwenda Kwa Kadhi au Kiongozi wa kidini ambaye Kwa mujibu wa Sheria ana uwezo wa kusikiliza Hilo shauri na kutoa maamuzi,,,,hiyo ndio Hali halisi.
Huenda ungekuwa na swali lingine,,,Kwa mfano je vipi sasa mwanaume na mwanamke wote wamekoseana je Qur'an inasemaje?
Qur'an haikuacha kitu hapa Napo imetoa mwongoz ufuatao ktk 4:35
"Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari."
Hapa ktk ugomvi WA mwanaume na mwanamke basi inatakiwa katika kikao cha usuluhishi kila upande kuwepo na mwakilishi ili usawa upatikane na kila mtu awe na haki Sawa.
Huo ndio Uislamu unatoa majibu Kwa kila maswali.
Bwana Mokiti ,,,,nasikitika kukwambia kwamba sitajibu hoja zako kwakuwa wewe ni mpuuzi Sana,,,,huwa unapika data za kupaka Uislamu matope Hali ya kuwa unajua sio sahihi,,,,,unachukua hadith ambazo sio sahihi na Stori ambazo unajisikia wewe mwenyewe kuzipika na kuleta upuuzi wako humu.
Kuna posti ulinikoti nikakupuuza na sikukujibu Kwa makusudi kwakuwa nakujua vizur,,,,na ndugu zangu waislamu huyu mpuuzi msishughulike nae mumdharau Tu namwacheni kama alivyo coz anapenda ligi Sana zisizo na kichwa wala miguu.
Acha kulia na kutukana ovyo , weka ushahidi nani kawatukana waislamuanaenda kuutukana uislam,
Onesha ambayo haipo , Hadith zote nazoweka Zina grade ya sahih au Hasan kuwa makiniNingeshangaaa sana kama uyu Mokiti asiwepo kwenye hii mada analeta hadithi zake dhaifu ambazo kwenye sahihi muslim azipo
Hayo ni machukizo mbele ya Mungu kwa dini zote. Wanaofanya hivyo ni makosa ya binadamu tu.Mbona wakristo mnaruhusiwa kufirana halafu sisi hatusemi ?
Hakuna Waislamu mashoga? Kwani uislamu umeruhusu hilo? Hayo ni makosa ya individuals bila kujali dini na hakuna dini inaruhusu hayoWazungu wamewafundisha mchezo mchafu mpaka mbatumia nguvu nyingi kuingiza watu huko,
Nyie endeleeni kufirana tu hakuna atayewauliza wala kuwahoji,
Endeleeni kumkashifu mnaetaka ila iko siku mtalipa tu, ni kwa kuwa waislam wanaamini issa ni mtume wa ALLAH hatuwezi kujilipa kwa kumtukana ila nyie machoko tutawatukana kwa kadri itakavyostahili
Twende kazi
Na kazi iendelee
Ungeweka nukuu ya biblia , imeandikwa wapi wanaruhusiwaMbona wakristo mnaruhusiwa kufirana halafu sisi hatusemi ?
Mkuu Kwa Hali ya kawaida mtu asiyejua kusoma wala kuandika katika jamii yetu huonekana Mjinga au sio,ndio maana hata wewe hapo ukaamua kukejeli,wala sikulaumu hata kidogo.Inasikitisha pale watu wanapoamini maneno ya jamaa aliyekuwa mapangoni asiyejua kusoma wala kuandika.
Muhammad hakuwa kiziwi , alikuwa anasikia na alikuwa anaandikiwa na kati surah mbili kubwa kwenye Koran ni mkristo alikuwa anamuandikia , yule mkristo akawa anasema muhammad hajui chochote nilicho muandikiaMkuu Kwa Hali ya kawaida mtu asiyejua kusoma wala kuandika katika jamii yetu huonekana Mjinga au sio,ndio maana hata wewe hapo ukaamua kukejeli,wala sikulaumu hata kidogo.
Ila Kwa Mtume Muhammad kutojua kwake kusoma ni sifa na ni mpango maalum wa Mwenyezi Mungu katika miujiza wa quran,ni Kitabu kilicho letwa ambacho kinaweza kuhifadhika Kwa uwezo Allah.
Na hapo mnamuita hajui kusoma lkn baadhi yenu mnasema kuwa Muhammad amechukua sehemu ya biblia na kuliweka katika Qur'an, swali linakuja mtu mnaye mkebehi kuwa hajui kusoma wala kuandika iweje aweza kukopi biblia na kuiweka katika Qur'an? Hapo mnaonyesha jinsi mnavyo tapatapa.
Lakini kama angekuwa anajua kusoma na kuandika bilashaka ndo mngekuwa na hoja kubwa ya kusema Muhammad amenakili biblia,,,,Allah ndio mjuzi WA kila kitu ametuletea Kitabu chake Kwa Mtume wake ambaye hajui kusoma wala kuandika ili aonyeshe ukuu wake.
Shukrani.
Jamaa wewe ni unaishi wapi? Ingia mtandaoni uone original manuscripts za islam anazo nani. Kitabu kimeandikwa na vatican (roman catholic) kupitia mtawa khadija na binamu yake waraqua. Kipindi kile catholic wanaua wakristo wakaamua kutengeneza hiyo dini kupambana na ukristo maeneo yaliyokuwa beyond the Mediterranean sea.Mkuu Kwa Hali ya kawaida mtu asiyejua kusoma wala kuandika katika jamii yetu huonekana Mjinga au sio,ndio maana hata wewe hapo ukaamua kukejeli,wala sikulaumu hata kidogo.
Ila Kwa Mtume Muhammad kutojua kwake kusoma ni sifa na ni mpango maalum wa Mwenyezi Mungu katika miujiza wa quran,ni Kitabu kilicho letwa ambacho kinaweza kuhifadhika Kwa uwezo Allah.
Na hapo mnamuita hajui kusoma lkn baadhi yenu mnasema kuwa Muhammad amechukua sehemu ya biblia na kuliweka katika Qur'an, swali linakuja mtu mnaye mkebehi kuwa hajui kusoma wala kuandika iweje aweza kukopi biblia na kuiweka katika Qur'an? Hapo mnaonyesha jinsi mnavyo tapatapa.
Lakini kama angekuwa anajua kusoma na kuandika bilashaka ndo mngekuwa na hoja kubwa ya kusema Muhammad amenakili biblia,,,,Allah ndio mjuzi WA kila kitu ametuletea Kitabu chake Kwa Mtume wake ambaye hajui kusoma wala kuandika ili aonyeshe ukuu wake.
Shukrani.
Najua unatamani Sana nikujibu kitu,,,,Ila nilishatoa msimamo wangu juu yako kuwa sitajadiliana na wewe,labda ukiacha upuuzi wako.Muhammad hakuwa kiziwi , alikuwa anasikia na alikuwa anaandikiwa na kati surah mbili kubwa kwenye Koran ni mkristo alikuwa anamuandikia , yule mkristo akawa anasema muhammad hajui chochote nilicho muandikia
Wapuuzi hawataisha duniani,,,wakati mwingine ni Bora ukae kimya usijulikane upuuzi wako,,,,Qur'an iliandikwa na khalipha WA tatu katika Uislamu anitwa Uthman bin Affan.Jamaa wewe ni unaishi wapi? Ingia mtandaoni uone original manuscripts za islam anazo nani. Kitabu kimeandikwa na vatican (roman catholic) kupitia mtawa khadija na binamu yake waraqua. Kipindi kile catholic wanaua wakristo wakaamua kutengeneza hiyo dini kupambana na ukristo maeneo yaliyokuwa beyond the Mediterranean sea.
Walimchagua muhammad kwasababu alikuwa militant leader aliyetaka umaarufu japo alikuwa maskini. Shauku yake ya kupata nabii wa waarabu na kwasababu alikuwa illiterate ilitumiwa vizuri na catholics.
Baadae sana wafuasi wa muhammad waliasi rome na waliendeleza jihad wakachukua nchi za kikristo kama Syria, turkey, Egypt, libya, Algeria nk. Walipotaka kuichukua na ulaya walipigwa na kusambaratishwa na Charles Maltery.
Hakuna upuuzi sema unaogopa, unataka kuwaingiza chaka wasio juaNajua unatamani Sana nikujibu kitu,,,,Ila nilishatoa msimamo wangu juu yako kuwa sitajadiliana na wewe,labda ukiacha upuuzi wako.