Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,186
- 26,304
Huyu mwanaume akisahau basi kumbuka kuna wanawake ambao watamkumbusha piaNakunukuu "awepo mwanaume mmoja na wanawake wawili,endapo mmoja akisahau mwenzake amkumbushe"
Huyu mwanaume mmoja akisahau inakuwaje Sasa?
Iko hivi mkuu,,,,Mwenyezi Mungu ameruhusu kuoa kuanzia wake wawili,watatu mpaka WA nne lakini akasema ikiwa mnaona hamuwezi kufanya uadilifu basi oeni mke mmoja Tu!Legasi za bega moja kuninama dah...
Atakumbushwa na wanawake wawiliNakunukuu "awepo mwanaume mmoja na wanawake wawili,endapo mmoja akisahau mwenzake amkumbushe"
Huyu mwanaume mmoja akisahau inakuwaje Sasa?
Umeongea uongo Sana tena Sana,,,,halafu umejifanya unazungumzia Dini mbili lkn target yko ni kukebehi Uislamu Tu!
Tutakuja kupangua hoja moja baada ya nyingine.....
Mifano ya uongo ndio maana Mimi nimetoa hoja na kupinga uongo wake,,,,unless kama hujasoma na kuelewaSasa unasema kaongea uongo huna fact za kumbishia mtu alie toa had mifano??
Na mwanaume akimkosea mwanamke Qur'an inasemaje?"Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu."
4:34
Nimetanguliza hiyo Aya hapo juu,,,,mtoa mada amesema kuwa wanawake wakikataa kutoa penzi basi wapigeni,,,,upuuzi mkubwa alionyesha mtoa mada,,,,,Aya inazungumza Kuwa wanaume ni wasimamizi wa wanawake ndio kichwa cha familia,hivyo wanawake wasipo tii basi Kwanza waonywe,pili wahamwe katika malazi...ina maana katika Uislamu kama njia ya kumwadhibu mwanamke unaweza kumhama chumba usilale au usisex nae Kwa Mda usio zidi miezi minne,hiyo sehemu ya adhabu au ya tatu basi ni kuwapiga ili wakae katika mstari.
Naomba usiku huu niishie hapa.....mnaweza kuchangia mpaka hapa nilipo ishia,,,,panapo majaliwa insha'Allah nitaendelea kesho
anaekugonga hakupatii vizuri haswaaUkiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini.
Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake.
Tuanze na uislamu.
1. Usilamu unasema wanawake ni viumbe ambao wako tayari kule mbinguni wakiwasubiri watu watakaoingia mbinguni. Soma Quran 2:25 na 4:57. Inasema kila atakaeingia mbinguni atapewa wanawake waliotakaswa vyema. Kwa maana kwamba wanawake hawana chao mbinguni, wao ni kutumika tu mwanzo mwisho.
2. Mwanamke ni nusu ya thamani ya mwanaume, kwa maana kwamba wanawake wawili ndio wenye thamani sawa na mwanaume mmoja. Soma sura 2:282, 14:176 na kadhalika. Hii inatoa picha kwamba wanawake wana thamani ndogo ama wao ni viumbe wa thamani ndogo mbee ya Allah.
3. Mwanamke akikataa kutoa penzi, unaruhusiwa kumpiga ama kumtandika hadi akubali. Mwanamke haruhusiwi kumkatalia mume wake anapohitaji penzi. Soma Quran 4:34.
5. Usijaribu kutaka kumtendea wema mwanamke, ni jambo gumu na lisilowezekana. Quran 4:129, Quran 23:6 inasema kua na huruma ama kua mwema kwa mke wako.
6. Mwanao wa kiume akiachana na mke wake unaruhusiwa kumuoa mtalaka wa mtoto wako. Kwa maana kwamba baba na mtoto mnaruhusiwa kucheza uwanja mmoja. Quran 33:37.
7. Allah alimpa Mtume Mohamed ruhusa ya kuoa wanawake wengi atakavyo. Quran 53: 50-51.
8. Mbinguni kuna mabikra wa kutosha wakiwasubiri watakaoingia mbinguni. Quran 38:52.
9. Unaweza kumpa mkeo talaka hata kama hajabalehe. Quran 65:4.
Tuishie hapo kwa uchache
B. Twende kwenye ukristo.
Swali zuri mkuu,,,,na sign out kwasasa,,,nitarejea baadaeNa mwanaume akimkosea mwanamke Qur'an inasemaje?
Kunywa sumu, tumia kamba ufe ndio uwapate. Sasa unakimbilia huko unawaacha wa huku daaaah kupanga ni kuchaguaFront seat, kuwapata hao mabikra 40 nabonyeza wapi vile!!
Huyu mwanaume akisahau basi kumbuka kuna wanawake ambao watamkumbusha pia
Ushahid mwingine ini ule wa zayd na zainabuHiyo namba sita sio kweli halafu usichokonoe mambo ya watu
Picha kwa hoja za maandikoKuanzia ya kwanza mpaka mwisho ni UWONGO