Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,188
- 26,324
Wanawake hawana chao mbinguni mbona ni uwongo wakati peponi kila mtu atapewa mpaka ataridhika na starehe za kila aina ambazo jicho hakijawahi kuona ,sikio hakijawahi kusikia wala mtu kudhania Ktk fikra zakeUkiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini.
Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake.
Tuanze na uislamu.
1. Usilamu unasema wanawake ni viumbe ambao wako tayari kule mbinguni wakiwasubiri watu watakaoingia mbinguni. Soma Quran 2:25 na 4:57. Inasema kila atakaeingia mbinguni atapewa wanawake waliotakaswa vyema. Kwa maana kwamba wanawake hawana chao mbinguni, wao ni kutumika tu mwanzo mwisho.
2. Mwanamke ni nusu ya thamani ya mwanaume, kwa maana kwamba wanawake wawili ndio wenye thamani sawa na mwanaume mmoja. Soma sura 2:282, 14:176 na kadhalika. Hii inatoa picha kwamba wanawake wana thamani ndogo ama wao ni viumbe wa thamani ndogo mbee ya Allah.
3. Mwanamke akikataa kutoa penzi, unaruhusiwa kumpiga ama kumtandika hadi akubali. Mwanamke haruhusiwi kumkatalia mume wake anapohitaji penzi. Soma Quran 4:34.
5. Usijaribu kutaka kumtendea wema mwanamke, ni jambo gumu na lisilowezekana. Quran 4:129, Quran 23:6 inasema kua na huruma ama kua mwema kwa mke wako.
6. Mwanao wa kiume akiachana na mke wake unaruhusiwa kumuoa mtalaka wa mtoto wako. Kwa maana kwamba baba na mtoto mnaruhusiwa kucheza uwanja mmoja. Quran 33:37.
7. Allah alimpa Mtume Mohamed ruhusa ya kuoa wanawake wengi atakavyo. Quran 53: 50-51.
8. Mbinguni kuna mabikra wa kutosha wakiwasubiri watakaoingia mbinguni. Quran 38:52.
9. Unaweza kumpa mkeo talaka hata kama hajabalehe. Quran 65:4.
Tuishie hapo kwa uchache
B. Twende kwenye ukristo.
Kweli hii nchi ngumuFront seat, kuwapata hao mabikra 40 nabonyeza wapi vile!!
[emoji16][emoji16]Front seat, kuwapata hao mabikra 40 nabonyeza wapi vile!!
hahahaha, mbona uko nje mada bwashee
We kma mkristo nakuomba uachane na mambo ya uislam ujui kitu!!Ukiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini.
Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake.
Tuanze na uislamu.
1. Usilamu unasema wanawake ni viumbe ambao wako tayari kule mbinguni wakiwasubiri watu watakaoingia mbinguni. Soma Quran 2:25 na 4:57. Inasema kila atakaeingia mbinguni atapewa wanawake waliotakaswa vyema. Kwa maana kwamba wanawake hawana chao mbinguni, wao ni kutumika tu mwanzo mwisho.
2. Mwanamke ni nusu ya thamani ya mwanaume, kwa maana kwamba wanawake wawili ndio wenye thamani sawa na mwanaume mmoja. Soma sura 2:282, 14:176 na kadhalika. Hii inatoa picha kwamba wanawake wana thamani ndogo ama wao ni viumbe wa thamani ndogo mbee ya Allah.
3. Mwanamke akikataa kutoa penzi, unaruhusiwa kumpiga ama kumtandika hadi akubali. Mwanamke haruhusiwi kumkatalia mume wake anapohitaji penzi. Soma Quran 4:34.
5. Usijaribu kutaka kumtendea wema mwanamke, ni jambo gumu na lisilowezekana. Quran 4:129, Quran 23:6 inasema kua na huruma ama kua mwema kwa mke wako.
6. Mwanao wa kiume akiachana na mke wake unaruhusiwa kumuoa mtalaka wa mtoto wako. Kwa maana kwamba baba na mtoto mnaruhusiwa kucheza uwanja mmoja. Quran 33:37.
7. Allah alimpa Mtume Mohamed ruhusa ya kuoa wanawake wengi atakavyo. Quran 53: 50-51.
8. Mbinguni kuna mabikra wa kutosha wakiwasubiri watakaoingia mbinguni. Quran 38:52.
9. Unaweza kumpa mkeo talaka hata kama hajabalehe. Quran 65:4.
Tuishie hapo kwa uchache
B. Twende kwenye ukristo.
Ukristo+ushoga ndo maana mapadri hawaowiUkiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini.

Legasi za bega moja kuninama dah...Mtoa mada amesema katika 4:129 kuwa usijaribu kumtendea mwanamke wema kwasababu ni Jambo lisilo wezekana....
Kama kawaida mtoa mada kaingia chaka tena,,,,,Aya imezungumzia mambo ya mitala hapo au uke wenza,kwamba Kwa maumbile ya mwanadamu mwanaume mwenye wake wawili hawezi kuwapenda wote kisawasawa hata kama akijitahhidi,Hilo swala ni gumu Ila wameaswa waume hapa kwamba basi ndio wasije kujisahau kumpenda mke mmoja zaidi mpaka mwengine kujiona sasa kama amtengwa au ametundikwa sehemu.
Na inasemwa kuwa Kwa Yule mwanaume ambaye atafanya upendeleo WA wazi Kwa mke moja zidi ya mwingine basi siku ya kiama atafufuliwa bega moja limeinama Kwa upendeleo alioufanya hapo awali.
Kikubwa mwanaume jitahidi kufanya uadilifu kadri utakavyo jaaliwa,sio huku anakula nyama kila siku halafu mwengine matembele kila siku hapo unafeli.
Shikamoo tumbo matatizo yote duniani wewe ndio chanzo.
Nakunukuu "awepo mwanaume mmoja na wanawake wawili,endapo mmoja akisahau mwenzake amkumbushe"Tuje kwenye hoja ya pili kuwa wanawake Wana thamani ndogo Sana mbele ya Allah....
Mtoa mada vile vile ameonyesha udhaifu mkubwa juu ya ufahamu wa lile aliloliongea, Aya 2:282 inazungumzia kuhusiana na kukopeshana, Allah anatoa elimu au muongozo kuwa pale watu wanapokopeshana basi waliandike Hilo deni kwani Hilo ndio Jambo Bora zaidi Kwa ushahidi,,,,na vile vile kuwepo na mashahidi wawili pale mnapoandikiashana, na ikasemwa mashahidi wawe wanaume wawili miongoni mwenu,,,,Ila kama wakikosekana wanaume wawili basi,awepo mwanaume mmoja na wanawake wawili,Kwa maana ili mwanamke mmoja akisahau basi mwanamke mwenzake amkumbushe, Mwenyezi Mungu ndio anajua hawa viumbe wake madhaifu Yao.
Hiyo maana halisi ya kuwepo wanawake wawili sehemu ya mwanaume mmoja,lkn sio kwamba wanawake hawana thamani mbele ya Allah...
"Enyi mlio amini! Mnapo kopeshana deni kwa muda ulio wekwa, basi andikeni. Na mwandishi aandike baina yenu kwa uadilifu, wala mwandishi asikatae kuandika. Aandike kama alivyo mfunza Mwenyezi Mungu. Na mwenye deni juu yake aandikishe; naye amche Mwenyezi Mungu, Mola wake Mlezi. Wala asipunguze chochote ndani yake. Na akiwa mwenye kudaiwa ni mtu aliye pumbaa au mnyonge au hawezi kuandikisha mwenyewe, basi aandikishe mlinzi wake kwa uadilifu. Na mshuhudishe mashahidi wawili katika wanaume wenu. Ikiwa hapana wanaume wawili, basi mwanamume mmoja na wanawake wawili katika mnao waridhia kuwa mashahidi. Ili ikiwa mmoja wao akipotea, mmoja wao amkumbushe mwengine. Na mashahidi wasikatae waitwapo. Wala msipuuze kuliandika deni likiwa dogo au kubwa mpaka muda wake. Hayo ndiyo haki zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu, na ndiyo sawa zaidi kwa ushahidi, na vyema zaidi ili msiwe na shaka. Ila ikiwa ni biashara ya mkono-kwa-mkono baina yenu, basi hapo si vibaya kwenu msipo iandika. Lakini mnapo uziana wekeni mashahidi. Wala asitiwe matatani mwandishi wala shahidi. Na mkifanya hilo hakika ni kosa kwenu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anakufundisheni. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu"
2:282