Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,713
Reaction score
91,659
Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?

Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
 
Unaruhusiwa kufuga kwa ajili ya ulinzi tu na uwindaji.Sharti awe na vyombo vyake vya kulia na awe bandani hadi muda wa usiku mfungulie allinde na asubuh kurudi. Haifai mbwa kukaa sofani na binadamu ,kwani mate yake akikugusa unajiosha mara 7 ,mara ya kwanza tumia mchanga.
 
Unaruhusiwa kufuga kwa ajili ya ulinzi tu.Sharti awe na vyombo vyake vya kulia na awe bandani hadi muda wa usiku mfungulie allinde na asubuh kurudi. Haifai mbwa kukaa sofani na binadamu ,kwani mate yake akikugusa unajiosha mara 7 ,mara ya kwanza tumia mchanga.

Kama hamna mchanga je?
 
Duuh!
 
kwani vyombo unatumia kulia mtu.mbona kama unaongea wepesi kama wale wabungeni ccm
 
wanacho nichekesha kuwa dini yao ni kasoro wapo na uwezo wa kufuga simba,chui na paka ila hawajui wote kuwa ni jamii pamoja na mbwa.
dini ni dalili za ukichaa
Wewe umesoma shule ya wapi.Simba,paka chui,tiger wako kundi linaitwa feline family.
Halafu usichokonoe na kutukana usichojua mbwa unachotakiwa asikunuse na pua yake.
Waislam kukwepa haya wanaona bora kutomfuga
 
Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?

Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
Mbwa anaruhusiwa kwa ajili ya ulinzi na Uwindaji haruhusiwi kufuga kama pet mnashikana shikana juu ya Makochi.
 
Si mmeambiwa kuwa mbwa ni shetani:
Na anaondoa udhu:
.............
Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”
..........
Ujanja ujanja tu hamna kitu humo:
Ndio mtume huyo:
 
wanacho nichekesha kuwa dini yao ni kasoro wapo na uwezo wa kufuga simba,chui na paka ila hawajui wote kuwa ni jamii pamoja na mbwa.
dini ni dalili za ukichaa
Chui, Simba, Paka ni jamii moja tofauti na mbwa. Ndio maana simba ama chui wanaitwa "BIG CATS"

Mbwa wapo Canidae Family pamoja na Wolves, Fox, Coyote, Jackal etc
 
Kufuga mbwa haijakatazwa, ila kuna masharti ya kuzingatia
1. Huyo mbwa awe ni kwa ajili ya ulinzi au kuwinda
2. Awe na banda lake, asikae ndani na watu. Na apewe chakula kwenye vyombo vyake
3. Nguruwe hairuhusiwi kabisa hata kumfuga home

Mate ya mbwa ni najisi kwa maana mbwa akikulamba mguu au mkono wako basi hiyo ni najisi. Ili hiyo najisi iondoke inatakiwa uoshe hiyo sehemu ambayo mbwa amelamba. Na utaosha mara 7 yani utaosha kwa maji na mara moja kwa mchanga. Na hivi hivi pia ukiguswa na nguruwe. Nguruwe ni mwili wake wote ni najisi sio mate tu.

Unaweza kufikiri huu ni wazimu lakini imefahamika cientifically kwamba mate ya mbwa au najisi ya nguruwe yana bacteria ambao hawaondoki wala kufa kwa kuoshwa na maji pekee.

Kuna daktari mzungu kutoka America alienda kufanya kazi Egypt akashangaa kusikia kuwa mbwa akilamba sehemu unatakiwa uoshe mara saba na moja wapo iwe ni mchanga (mchanga plus maji).

Akafanya mwenyewe uchunguzi akachukua chombo kilicholambwa na mbwa akapima akakuta kina bacteria wengi. Na akaosha kwa maji pekee na kisha akaenda kuipima tena maabara akakuta bado kuna bacteria wale wale wapo hawajaondoka na akaosha tena ile container kwa maji na mchanga kama alivyo elekeza Mtume Muhammad SAW kisha akaenda kupima tena akakuta hakuna bacteria aliyebaki katika chombo kile. Huyo Dr alikuja kusilimu. Ngoja nikiipata clip yake nitaiweka hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom