Mafanikio 07
Member
- Jun 18, 2019
- 57
- 37
Mie bhana kinachonishangaza kwenye dini kuwa unaambiwa usiende kwa waganga wkt dini yenyewe ni imani kama ilivyo kumuamini mganga na kwa bahati nzuri unakuta mganga pia anakwambia mtegemee mungu utafanikiwa hicho kitu au una kuta mtu unateseka na gonjwa la kupewa mda mrefu alf mwisho wa siku wew utumie njia ya kifizikia kulitibu hlo gonjwa wkt daktari anakwambia haoni tatzo.Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.
Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.
Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.
Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.
Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.
Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali
Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.
Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!
Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Poa.
Hilo nimeuliza kwenye lingine humu humu.Kwenye dini hujataka historia?
Si kweli ila maswali ninayo kuuliza ni mepesi sana na yako wazi mno,hili unataka mpaka ubanwe sana ndiyo uje kujibu,kama ulivyokuja kujibu maana ya Uchawi na hukuweza kuitetea ipasavyo.Pengine kuna kitu unahitaji kusikia kutoka kwangu na hukipati au nakuwa mfinyu wa kukuelewa ndio maana
Sioni logic yako hapa; kama viongozi wa dini ndio wanaoongoza kwenda kwenye ushirikina na unawalaumu kwa hilo unafikiri kipi kibaya zaidi dini au ushirikina?Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.
Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.
Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.
Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.
Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.
Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali
Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.
Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!
Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Abadilike aweje? Yuko sahihi
Huenda uchawi unafanya mauaji zaidi ya dini. Tatizo hakuna ushahidi, mambo yao hayaonekani kwa macho ya kawaida.In terms of mambo mabaya kwa wakati mmoja na yaliyoangamiza watu wengi kwa mara moja uchawi unasubiri mbele ya dini
Tumeshuhudia si mara moja au mbili vita vya kidini vilivyoondoka na roho za malaki wasio na hatia... Je ni wapi umewahi kusikia ushirikina ukiuwa kwa halaiki?
Mimi sina dini chief ila nina amini Mungu yupo.Tz kuna dini na imani nyingi na zote zinahukumu dini nyingine kuwa si sahihi, kwann wewe hutaki kuhukumiwa na dini yako ya waganga?
Naomba nifanye hivyo alfajiri akili ikiwa fresh kwasasa nitapiga danadana tuuSi kweli ila maswali ninayo kuuliza ni mepesi sana na yako wazi mno,hili unataka mpaka ubanwe sana ndiyo uje kujibu,kama ulivyokuja kujibu maana ya Uchawi na hukuweza kuitetea ipasavyo.
Nimekuuliza swali nini Ushirikina na historia yake ilianza vipi,kadhalika dini ni nini na utupe ushahidi wa kile ulichodai kwamba dini zimetungwa na watu nw nikakutaka utoe mifano hili hujalifanya.
Sasa ombi langu ni ujibu maswali niliyo kuuliza.
Hapana fazili sijamwaminisha mtu wala kumlazimisha mtu kuamini nimeweka mada kwa mtazamo wangu ili tujadili kwa pamojaSioni logic yako hapa; kama viongozi wa dini ndio wanaoongoza kwenda kwenye ushirikina na unawalaumu kwa hilo unafikiri kipi kibaya zaidi dini au ushirikina?
Pia usisahau kuwa ushirikina ni dini ya watu.
Tenganisha dini kama institution na dini kama imani.
Binafsi najua ubaya wa kuwa mwanadini bila kuwa na imani nzuri au ucha Mungu lakini kamwe ushirikina sio afadhali ukilinganisha na dini.
Jua kwamba kwenye ushirikina ndio matendo makuu ya shetani hufanywa kama kuua n.k.
Usiwaaminishe watu eti ushirikina ni jambo jema labda kama wewe ni agent wa mfumo huu wa shetani.
Mshananistic ideology[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Kuamini ushirikina kuwa una faida zaidi kuliko dini ni
Mshananistic ideology...we need to rethink beyond our cognitive
Ushirikina ni jina lililopewa imani zetu ili kuzitweza tuKuamini ushirikina kuwa una faida zaidi kuliko dini ni
Mshananistic ideology...we need to rethink beyond our cognitive
Siku ya mwisho kila mtu atahukumiwa kwa sheria iliyokuwa inamwongoza
Ukweli ambao hata Mshana ataukubali ni kwamba mambo yako hivi:Mie bhana kinachonishangaza kwenye dini kuwa unaambiwa usiende kwa waganga wkt dini yenyewe ni imani kama ilivyo kumuamini mganga na kwa bahati nzuri unakuta mganga pia anakwambia mtegemee mungu utafanikiwa hicho kitu au una kuta mtu unateseka na gonjwa la kupewa mda mrefu alf mwisho wa siku wew utumie njia ya kifizikia kulitibu hlo gonjwa wkt daktari anakwambia haoni tatzo.
Sawa,ni sehemu ya unyama unaofanywa na wachawi. Je unaweza kujua usiku wa leo wachawi wamewaua watoto na watu wazima wangapi? Kuna mimba elfu kadhaa zimeharibika kwa sababu ya uchawi,kuna watoto,watu wazima na wazee kibao wameuliwa na wachawi kupitia magonjwa ya kutengenezwa.Wakati wa maalbino kuuliwa na kukatwa viungo sauti zilipazwa sana..hivyo ushahidi hauwezi kukosekana
1.Viumbe wote wameumbwa kutoka kwenye SUPREME POWER AMBAYE NDIYE wengi wetu TUNAMUITA MUNGU.Ukweli ambao hata Mshana ataukubali ni kwamba mambo yako hivi:
1.Viumbe wote wameumbwa kutoka kwenye SUPREME POWER AMBAYE NDIYE wengi wetu TUNAMUITA MUNGU.
2.MWANADAMU anayeishi sehemu yake muhimu na kubwa Zaidi INAITWA ROHO.
3.ROHO ZOTE hizo ni derivative ya ROHO MOJA KUU-Roho wa Mungu.
4.ROHO ZOTE zina GODLY INTELLIGENCE.
Zina ELIMU yote ya mambo yaliyoko na yaliyopita.
5.Ndani ya ubinadamu kuna uwezo wa kutafsiri mambo kutoka JUMBE ZA KIROHO.
Tafsiri nyingi zinapelekwa kwenye desk top ambayo ni UBONGO.
Ubongo hauna uwezo wa kutafsiri taarifa za Roho hata kwa nafasi ya moja ya million.
6.kutokana na uwezo mdogo wa akili(Brain),ndiposa kunatokea mchanganyiko wa habari.
Witchery is one of the poorest interpretations.
Deepest meditation through which the soul gets communicated so well,we call it PRECISE PRAYERS.
DINI nyingine especially CHRISTIAN WANA ROHO MTAKATIFU.
Actually Huyu yuko kwa kila mtu.
Tatizo ni KUJITAMBUA.
na
KUMTAMBUA na
KUWASILIANA NAYE.
Organized religions zimeharibu ukweli huu kwa kuwa wamamgeuza MUNGU kuwa BABA MKALI.
BABA MWENYE HASIRA.
BABA MWENYE GHADHABU...
Wameumba sura ya Mungu asiyekwepo.
Mungu wa kuchonga.
Kwa ab
Mungu ni UPENDO NA UPENDO NI MUNGU.
Kila kilicho kinyume na hilo ni uwongo......
Etc
Etc
Etc