Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,855
- 3,488
China karibu 90% sio waumini na mambo yanakwendaSouth Korea 46% ya watu wote hawana dini, ila wanaishi vizuri bila shida yoyote
China karibu 90% sio waumini na mambo yanakwendaSouth Korea 46% ya watu wote hawana dini, ila wanaishi vizuri bila shida yoyote
Wana dini nyingi sana za kienyeji ambazo zimechanganyika na mila na tamaduniChina karibu 90% sio waumini na mambo yanakwenda
angalia jina witch halafu doctor.kuna mchawi daktari? sijawahi kwenda sababu haiwezekani hata kwa akili ya kawaida a witch akawa doctor!! Eti witchdoctor! mmmmm.A witch is a witch always!Ushawahi kwenda kwa whitchdoctor!
Najua utasema hapana,lakini ukweli unaujua
Mwenyewe!
Ova
Hapa unapoteza lengo la mjadala. Kule tulijadili kuhusu Uchawi kwa mtindo wake na muafaka haukufikiwa japo hili si lengo.Swali la kwanza kuhusu ushirikina nadhani tumeshajadili sana kule
Swali la pili kuhusu dini nimeshalijibu kwenye mada kuu.. Hebu chukua muda kuisoma tena tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeoitia nakuelewa vyema,kama ushahidi umo nionyeshe,isiwe wewe ndiyo hujaelewa nilichokiandika.Nadhani maelezo yote yako ndani ya mada je umepitiwa kusoma na kuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ok sawa sawa naona majibu yangu kwako hayajatoshana kabisaHapa unapoteza lengo la mjadala. Kule tulijadili kuhusu Uchawi kwa mtindo wake na muafaka haukufikiwa japo hili si lengo.
Ama kujadili jambo la dini kwa kurejea mada nyingine hii si kanuni ya mjadala sababu nina uhakika maswali yangu mada yako ya dini haija jibu maswali haya. Ili mjadala uende vizuri ya humu tumalize humu humu.
Hujajibu swali nililo kuuliza.Haya ni maslahi yangu kiroho na nilitangaza kabla mwanzoni kabisa mwa post... Sasa ukinibishia na kusema ni uongo nitashindwa kukuelewa
Mimi kuwa na imani yangu na dini yangu hakunizuii kujadili madhaifu yangu yake labda tu nikubali kukaa ndani ya duara nisihoji chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwamba hayajatoshana,bali hujajibu maswali na tusipelekane kwenye mada nyingine muda ambao majibu unaweza kuyatoa hapa hapa. Elimu ni ile ambayo uko nayo kifuani na unaweza kuitoa muda wowote.Dah ok sawa sawa naona majibu yangu kwako hayajatoshana kabisa
Sasa rejea maswali yangu niliyo kuuliza,kisha uyajibu.
Shime shime waafrika basi na turudi kuabudu katika miungu ya mababu zetu izi dini tulizoletewa tuwaachie wenye nazo,,Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.
Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.
Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.
Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.
Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.
Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali
Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.
Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!
Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Tz kuna dini na imani nyingi na zote zinahukumu dini nyingine kuwa si sahihi, kwann wewe hutaki kuhukumiwa na dini yako ya waganga?Sijui kwanini tunahukumu sana kwenda kwa waganga mkuu? It's the African way of life mpaka mzungu na mwarabu alipokuja kuharamisha. Tuwe proud na mila na tamaduni zetu,sioni shida kwenda kwa mganga as long as siendi kumfanyia mtu ubaya bali kutatua changamoto zangu. Wahindi wamebaki na tamaduni zao,wakorea,wajapani maisha yanasonga ili sisi waafrika tunateseka kweli.
Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.
Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.
Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.
Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.
Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.
Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali
Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.
Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!
Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Abadilike aweje? Yuko sahihiHii ni ngumu sana kumeza labda uwe na roho km ya Mshana..hapa panahitaji watu wenye kalama ili kumbadili huyu mwamba.
Hasa unini wewe mfuga majini?Huu ni uongo wa kauli na matendo au unaidanganya nafsi yako.
Huwezi kuwa mshika dini ukawa mshirikina,sababu ushirikina unakutoa katika dini hasa dini ya Uislamu.
Swali langu ni Wewe ni dini gani na dhehebu gani na kwanini upo kwenye dini hiyo na dhehebu hilo ?
Hakuna siku ya mwishoSiku ya mwisho kila mtu atahukumiwa kwa sheria iliyokuwa inamwongoza
Kwenye dini hujataka historia?Shukrani kwa wito. Ila kabla sijaendelea mbali zaidi,jambo ulilo liandika linapaswa zaidi ulielezee kwa ushahidi na si kama ulivyo fanya wewe.
Swali la kwanza ni Ushirikina ni nini na ipi historia yake ?
Swali la pili ni Dini ni nini ?