Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,776
- Thread starter
- #21
Lakini imani bila matendo thabiti (chanya) imekufa.. Na inategemea ni imani juu ya nani..niniImani ni bora kuliko dini - Songa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini imani bila matendo thabiti (chanya) imekufa.. Na inategemea ni imani juu ya nani..niniImani ni bora kuliko dini - Songa
Shukrani kwa wito. Ila kabla sijaendelea mbali zaidi,jambo ulilo liandika linapaswa zaidi ulielezee kwa ushahidi na si kama ulivyo fanya wewe.
Naomba ushahidi na utoe mfano kuthibitisha ya kuwa dini ni njia iliyo buniwa na mwanadamu na ilianzaje anzaje ?Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa..chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.
Huu ni uongo wa kauli na matendo au unaidanganya nafsi yako.Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Ushirikina wenyewe ni jambo baya,vipi ufanye baya lingine zaidi yake.Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini...lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini
Ni ipi mizani yako ya haki ?Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Mwamba jiandae uende Masjid huku utachafuka roho yako na swaumu hii Kali aisee!Huu ni uongo wa kauli na matendo au unaidanganya nafsi yako.
Huwezi kuwa mshika dini ukawa mshirikina,sababu ushirikina unakutoa katika dini hasa dini ya Uislamu.
Swali langu ni Wewe ni dini gani na dhehebu gani na kwanini upo kwenye dini hiyo na dhehebu hilo ?
Hili kwangu si tatizo.Mwamba jiandae uende Masjid huku utachafuka roho yako na swaumu hii Kali aisee!
😂😂😂😂😂😆
Wamekuvisha pazia ili uwe kipofu!Dini, uchawi, urogi, ushirikina, miujiza, maombi na mambo ya aina hiyo ni utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna kitu kama hicho.
Enlightened beliefsMaslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu
Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa..chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.
Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani... Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina
Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema..ni mitufuano tuu...!!!Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao.. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana
Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania...Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.
Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.
Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.
Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali
Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini...lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini
Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina..!
Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Swali la kwanza kuhusu ushirikina nadhani tumeshajadili sana kuleShukrani kwa wito. Ila kabla sijaendelea mbali zaidi,jambo ulilo liandika linapaswa zaidi ulielezee kwa ushahidi na si kama ulivyo fanya wewe.
Swali la kwanza ni Ushirikina ni nini na ipi historia yake ?
Swali la pili ni Dini ni nini ?
Nadhani maelezo yote yako ndani ya mada je umepitiwa kusoma na kuelewa?Naomba ushahidi na utoe mfano kuthibitisha ya kuwa dini ni njia iliyo buniwa na mwanadamu na ilianzaje anzaje ?
Haya ni maslahi yangu kiroho na nilitangaza kabla mwanzoni kabisa mwa post... Sasa ukinibishia na kusema ni uongo nitashindwa kukuelewaHuu ni uongo wa kauli na matendo au unaidanganya nafsi yako.
Huwezi kuwa mshika dini ukawa mshirikina,sababu ushirikina unakutoa katika dini hasa dini ya Uislamu.
Swali langu ni Wewe ni dini gani na dhehebu gani na kwanini upo kwenye dini hiyo na dhehebu hilo ?
Nimesema tukilinganisha haya mawili kwenye mizania ya haki dini ina mabaya mengi kuliko ushirikina..na mifano hai nimetoaUshirikina wenyewe ni jambo baya,vipi ufanye baya lingine zaidi yake.
Kwanza tujikite katika usuli,huku ndiyo mambo huzalikana,ushirikina ni nini ?
Ushawahi kwenda kwa whitchdoctor!Kwa waktisto Mungu hapiganiwi dini sababu biblia inatamka vita ni ya Bwana sio mwanadamu Istael walimshinda farao na jeshi lake hila kurusha hata jiwe au kofi.Wasio na Mungu ndio utasikia napigania mwenyezi Mungu