Dini ni Utamaduni wa watu fulani

Duuh
Umejipanga kupinga kila kitu bila hoja za msingi isipokuwa chuki.
Alice Werner hakuwa na mandate ya kuandika hayo kwa sababu zipi za msingi? Mbona umemwattack tu personally? Tukisema itolewe thread ya kumwattack Muhammad patatosha hapa? Punguza chuki. Twende taratibu.
 
Sioni upande mwingine humu, mbona Ni nyie tu? Mbona na wale wa msalaba wametajwa? Hii ni inferiority complex. Punguza chuki. Twende taratibu.
Asante kwa kunisaidia bi Dada
 
Hii mada mbona haijalenga Uislam tu? Mbona mna inferiority complex kiasi hiki? Mbona mnamtetea Sana Mungu wenu kwa nguvu kwanini musimuache ajitetee meenyewe? Sioni upande wa piki humu wakilalamika.
Kijana una akili ndogo sana, kwahiyo ulitaka niongelee kisicho nihusu ?

Nineongelea Uislamu sababu ndiyo yangu na inanihusu. Hizi nyingine wataongelea ambao zina wahusu.
 
Utakuta mwafrika amefunga macho na anapasua sala ya kufa mtu( utamaduni wa Kiyahudi) kama zuzu. Ee Mungu tuepushe na hili janga, turudi kwenye utamaduni wetu.
 
Hicho kitabu ninacho na ndiyo maana nimemtaja humu. Waafrika walikuwa na dini na imani zao. Huyo mdada Ni Kama mtafiti alizunguka kusini mwa jangwa la sahara na kuyaandika mengi Sana kuhusiana na waafrika na imani zao.
 
Hii mada mbona mnalalamika nyie tu? Soma vizuri uielewe.
Pili, unatakiwa ujue maana za maneno,hakuna anaye lalamika hapa bali tunaonyesha ni kwa namna gani mtoa mada hajui alicho kiandika na ni muongo.

Sisi waislamu tunawajibika zaidi kuuzungumzia Uislamu wetu sababu umetajwa na unatuhusu, hao mayahudi na wakristo na wao wakiona haja watakuja kuzungumzia dini zao.
 
Hicho kitabu ninacho na ndiyo maana nimemtaja humu. Waafrika walikuwa na dini na imani zao. Huyo mdada Ni Kama mtafiti alizunguka kusini mwa jangwa la sahara na kuyaandika mengi Sana kuhusiana na waafrika na imani zao.
Waafrika walikuwa wana Dini gani unaweza kutuambia msingi wa dini ya waafrika ulikuwa nini ?
 
Waislamu waafrika wanaaminishwa amali zipo mbinguni kwaiyo tusiuhangaikie utajiri wafe masikini duniani mbinguni wameandaliwa kila kitu wao wafanye ibada tu uhai wao wote wakati uyo aliyemletea UISLAM anaishi kifahari wasaudia matajiri sio mchezo, Waislamu wauarabuni matajiri kwelkwel.

Wakristo waafrika wameaminishwa ktk manabii mtu akifanya miujiza kidogo bas anatunukiwa unabii anaabudiwa. nonsence kabisa manabii kila siku wanaongezeka mara wawalishe wahumin wao nyasi, petrol, tissue wanadai wamepewa maono.

UKIHOJI UNAAMBIWA UNAKUFURU
 
Umesema African traditional religion, Sasa unauliza kutoka wapi ili upate jibu gani?

Labda umelisoma haraka haraka hilo swali

Soma tena hilo swali

Hii ndio dini ya watu kutoka wapi Afrika ??

Au unataka kusema Afrika nzima kulikuwa na dini hiyo ??
 
Labda umelisoma haraka haraka hilo swali

Soma tena hilo swali

Hii ndio dini ya watu kutoka wapi Afrika ??

Au unataka kusema Afrika nzima kulikuwa na dini hiyo ??
Ni African Traditional Religions, wana historia wanaziita dini za kiafrika. Haikuwa moja na haikuwa na uniformity all over the Africa, ni typing error tu hapo juu ilitakiwa isomeke katika uwingi 'African Traditional Religions'
 
Ina maana hizo ni dini nyingi tofauti ??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…