mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,493
- 57,426
utofauti unaanzia wapi mkuu?
Tatizo la mada yako linaanzia hapa,na limeonyesha waI kabisa lazima ukosee katika mada nzima, kwanini uijadili Dini kama Tamaduni za watu fulani na ushindwe kuijadili Dini kama dini ?Hapa hiyo dini yako naijadili Kama tamaduni tu wa watu fulani.
uarabu una mafundisho gani?Kwa hyo unataka tukubali tu aliyosema?.
Uarabu una mafundisho yake na uislam pia una mafundisho yake.
Ndo maana kuna waarabu walikuwa hawautaki uislam na kuna waarabu ni wakristo..
Ukisema uislam umecopy kwenye tamaduni za uarabu utakuwa unakosea
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
uarabu una mafundisho gani?
Huu unaitwa utaratibu, na utaratibu huu unatupa mafunzo sisi wanadamu kufanya mambo yetu kwa utaratibu pia.swala la mungu kuleta vitabu ndo hua silielewi kabisa.
kwamba mungu anategemea maandishi kufikia watu wake?
ambao hawajui kusoma ?
ambao bado hawajifikiwa na vitabu mpaka sasa (wapo) ana mpango gani nao?
hizi vitabu vya dini ni utashi wa binadamu tu.
Fasihi ilitumika sana kuaminisha watu vitu km toharani,mbiguni na motoni...Dante Alighieri ni mmoja wa hao wana fasihi waliouweka Ukristo katika ulingo.Asante mkuu
Uzi umekuwa mfupi labda kutokana na uvivu wangu wa kuandika. Hayo yote uliyoorodhedha sijayatolea ufafanuzi lakini yapo vema na wazi katika 'culture'
~uwepo wa nafsi
~simulizi za maisha ya kaburi
~uwepo wa pepo na moto
~kuhusu roho
~maisha baada ya kifo
Hayo yote yanaingia kwenye 'Myths and Lengends' imani na Hadithi. Kuna hadithi nyingi za kiarabu na za kiafrika(kulingana na kabila husika) zinazoelezea hayo yote. Hadithi na imani hizo pengine tumezigeuza kuwa sehemu ya dini, Waarabu na wazungu walipofika Afrika walitukuta tuna knowledge kuhusu Roho, pepo,maisha baada ya kifo....yote yalikuwapo. Wakaleta yao.
kumbe uislam ulikuja kwa ajili ya WAARABU wa enzi ya ujinga!Kabla ya uislam waarabu walikuwa kwenye "ENZI ya ujinga "
Uislam ulipo kuja ukawafundisha stara.
Jinsi ya kuabudu,jinsi ya kula,jinsi ya kuoa, kuishi na watu n.k.
Uislam unajitegemea. Ndo maana hata mmakonde wa mtwara anaweza kuwa muislam na kusoma quran.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ina maana ulikuwa unapinga jambo ambalo huna elimu nali mzee ? Hivi vituko huwa naviona jf pekee.uarabu una mafundisho gani?
Mkuu hebu soma shairi la Inferno la Dante?Nisaidie Mkuu Tamaduni ambayo inaelezea maisha ya mtu akiwa Kaburini, na Tamaduni ambayo inaelezea maisha baada ya kifo Mkuu
Tafadhali
Ata ww pia mfia diniMfia dini aliowasema mtoa mada.
Uzi mzito huu kama vipi tupishe
kumbe uislam ulikuja kwa ajili ya WAARABU wa enzi ya ujinga!
uoni sisi tumebeba mzigo si wetu tumekopi tamaduni za watu
sisi tulikua na taratibu zetu kula,kuvaa,salamu,ibada
kwaio mpaka hapa uislam ulikua hautuhusu.
sijui kwa nini huu utaratibu aliupeleka uarabuni?Huu unaitwa utaratibu, na utaratibu huu unatupa mafunzo sisi wanadamu kufanya mambo yetu kwa utaratibu pia
ni utashi wa nani?Unapo sema Vitabu ni utashi wa mwanadamu, unatakiwa ututhibitishie hilo, ila kama unaandika tu kwa kujisikia kuandika, kaa ukijua unaidhulumu akili yako ya kuifanya isifanye kazi yake vizuri, na hili ni tatizo la kujitakia, tafakari katika uhalisia.
kwaio mungu anafurahia kuona watu wake wanaishi bila kufata taratibu zake.Watu ambao hawajafikiwa na vitabu, wapo na wanatambulika na wana jina lao maalumu (Katika Uislam watu hawa wameongelewa, ila jina lao kidogo limenitoka) hawa watakuja kufufuliwa siku ya malipo, watapewa mtihani watakao faulu watalipwa pepo na watakao feli watalipwa moto.
Kumbe tuko wengi sanasijui ni kwanin uwa nazichukia DINI, zimekuja kutugawa waafrika na uhasama. nachukia sana
sijakuuliza weweIna maana ulikuwa unapinga jambo ambalo huna elimu nali mzee ? Hivi vituko huwa naviona jf pekee.
Kwanza huwa nawashangaa sana mnapo pinga mambo ambayo hamna elimu nayo kabisa.sijui kwa nini huu utaratibu aliupeleka uarabuni?
Kwanini hujibu swali langu na kwanini utake jibu liwe "utashi" ?ni utashi wa nani?
Usitake nipinge jambo ambalo hata ukipewa miaka mia huwezi kulithibitisha. Ninacho kitaka toka kwako kwanza ututhibitishie haya unayo yaandika, nilikukanya kijana ya kuwa hapa tunaongelea elimu siyo habari za pauka pakawa, weka akilini hilo. Kama ni kusema tu kila mtu anaweza kusema analo taka, ila hapa tunaangalia ukweli wa mambo, sasa wewe tuonyeshe ukweli wa haya unayo yaandika,ili tukuulize maswali.mi najua ni kazi ya mudy na maswhiba zake ambao ni binadamu .pinga
Mola wetu ana vitu vifuatavyo, ana Wills (Mashi'at) na ana Wants (Irada) yaani huwa akitaka jambo litokee hutokea hata kama halipendi, mathalani leo hii ameruhusu ufisadi uwepo duniani ila hapendi waja wake wawe mafisadi, na ndiyo maana akaweka mlango wa toba, akaleta ujumbe na akatuonyesha madhara ya kufanya ufisadi. Huyu ndiyo Mola wetu mlezi.sijui kwa nini huu utaratibu aliupeleka uarabuni?
ni utashi wa nani?
mi najua ni kazi ya mudy na maswhiba zake ambao ni binadamu .pinga
kwaio mungu anafurahia kuona watu wake wanaishi bila kufata taratibu zake.
Kwahiyo siruhusiwi kuchangia jambo ambalo linanihusu hata kama hujaniuliza mimi ?s
sijakuuliza wewe
Kabla walikuwa m
unazunguka palepale .Ebu soma kwanza hayo maelezo. Kuhusu dini ya waarabuView attachment 1510616
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
unazunguka palepale .
kama ni ivyo basi mudy alienda kubadilisha utamaduni na kuwapa dini WAARABU
sisi huku wabongo ilikua inatuhusu nini wakati tulikua na taratibu zetu.
naomba jina la mja alichaguliwa kutuletea ujumbe tzMola wetu hupeleka ujumbe kulingana na hali za watu wake, na huchagua mja miongoni mwa waja wake ili awafikishie ujumbe wengine, kwa maana ya uongozi.
huku bongo alikuja mtume nani kutufundisha.Kabla walikuwa makatili na wasiomjua mungu .waliabudu masanamu.
Na kuishi maisha ambayo hayakumpendeza mungu.mpaka alipo kuja mtume muhammad na kuwafundisha uislam ndo wakaanza kustaarabika..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app