safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,314
- 18,146
mimi sijasema kuwa ustaarabu ni kuvaa kanzu na maninja.Ustaarabu hatuangalia uvaaji wa kanzu na protocol za kininja
Katika maadili ya kiustaraabu au jamii ambayo kweli imestaarabika haiwezi kukubaliana na ndoa hii ambayo mtume wenu aliifanya
Sio kwasababu maumbile hayaruhusu, ni kwasababu taratibu za kiustaarabu hazikubaliani na unyama huo kwa watoto
Bali nimesema wastaarabu waarabu wanafanya hilo jambo.
Wakati wewe umeuliza kuwa jamii gani ya wastaarabu inafanya hivyo maana yake umekusudia kuwa mbali na hilo la kuoa mtoto wa miaka 6 hao watu ni wastaarabu.
Kwa hiyo ulikusudia kuwa wawe wastaarabu mbali na hilo la kuoa kitoto cha miaka 6.
Na waarabu mbali na hili la kuoa kitoto cha miaka 6 wana ustaarabu mwingi tu.
Ndo maana nikakuambia kuwa waarabu ni wastaarabu huwa wanafanya hivyo.
Sasa tena unaruka warukia kwingine.
Kwani kuna taratibu gani na zimeandikwa wapi taratibu hizo za kiustaarabu ambazo dunia nzima imekubaliana kuwa hizo ndo ustaarabu bila kutofautiana hata kidogo ?Sio kwasababu maumbile hayaruhusu, ni kwasababu taratibu za kiustaarabu hazikubaliani na unyama huo kwa watoto
