AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Hiyo aya haisemi sehemu. Ila huyu mtafsiri akajiamulia tu kusema Kila uma. Wakati hicho kitabu hakijasema hivyoTafsiri ya Aya inayosema sio mitume wote Mtukufu mtume (saw) kasimuliwa habari zao ni hii:-
"Na kwa yakini tuliwatuma mitume kabla yako, wengine tumekusimulia na wengine wao hatukukusimulia----"
(40:78) Qur'an.
Tafsiri ya Aya inayosema kwamba mitume walitumwa katika kila umma ni hii hapa:-
" Na bila shaka tulimuinua mtume katika kila umma ya kwamba mwabuduni Allah na muepukeni muovu-----" (16:36) Qur'an.
Aya zingine zinazoungana na hiyo aya ni hizi hapa; 10:47, 13:7, 35:24.
Halafu nikusikie tena ukishikilia imani yako potofu kwamba waafrika na watu wengine hawakufikiwa na mitume kama kwamba sisi katika zama hizo tulikuwa kama manyani tusiostahili kupata muongozo wa Mungu ili nasi tuipate pepo pindi tulipofariki (wazee wetu wa zamani).
Naona unaruka ruka nimekuuliza swali dogo hujibu, unatoa maelezo mbali kabisa.
Unafikiri dini inaendeshwa kwa nadharia na mawazo ya mtu binafsi siyo ? Tunataka ushahidi wa hayo unayo yasema.
Ulichotakiwa wewe ni kukoma pale pale ilipo ishia aya ila kuleta ujuaji kama huu ndiyo maana swali limekushinda. Sasa unatakiwa uwe makini, hii ni dini.
Ahsante.
Kwahiyo Qur'aan inakufundisha uzue na uandike ya uongo ?Wewe, Qur'an sio kitabu cha visa na ngano za alfu lela ulela.
Qur'an inasema; افلا يتدبرون القران--- je hawaitafakari (Qur'an?? 4:82).
Wewe unataka tusome Qur'an kibubusa bila tafakuri, kila aya inahitaji tafakuri bali kila neno na herufi za Qur'an zinahitaji tafakuri, Qur'an ni muujiza.
Narudia, Wenye akili ndiyo wanaweza kujua maana za maneno ya Qur'an.
Duh.! Mungu wenu mbinafsi sana..Una maana vilaza hawataiona pepo.!?Narudia, Wenye akili ndiyo wanaweza kujua maana za maneno ya Qur'an.
Kwahiyo Qur'aan inakufundisha uzue na uandike ya uongo ?
Qur'aan haitaki mtu afikiri kwa uongo kama ufanyavyo wewe bali inakutaka upite mule mule alipopita mtume na maswahaba zake.
Sasa rudi kasoma tena na ujifunze kuchukua fasili za mtume wa Allah amani ya Allah iwe juu yake. Hili swali nilijua hutaweza kulijibu, sasa dini haitaki huu ujinga.
Duh.! Mungu wenu mbinafsi sana..Una maana vilaza hawataiona pepo.!?
Wanaoingia peponi ni watu wenye akili na elimu, ni wstu waliofanya mema kwa kutumia akili, lakini Allah ni mwingi wa rehema na ukarimu na huruma yawezekana hata wasiokuwa na akili akawaingiza peponi kwa huruma yake,
Yeye Allah ndiye anayejua zaidi.
We umejuaje Sasa kama huyo mo hakuhadithiwa?? AU Allah alikuhadithia wewe au umeamua tu kusema kuwa tuliletewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawakosagi majibu watakuambia wewe unayejua kusoma mfafanulie huyo asiyejua kusoma
Nimecheka sana, ukiona mambo ambayo Allah hajayafunua kwa mtume ujue hakuna anae weza kuyaweka wazi, matumizi sahihi ya akili ni kujua ya kuwa hutakiwi kubahatisha na kufungua mlango wa uzushi.Qur'an inakutaka usiwe bubusa, inakutaka unaposoma aya zake uzitafakari, mfano Allah anaposema; kuna mitume amehadithia habari zao na wapo hajahadithia habari zao maana yake tunatakiwa tutafakari kwamba ni mitume gani habari zao zimehadithiwa na hizo habari ni zipi na zina faida gani kwetu??!!, na kadhalika hao mitume ambao habari zao hajizasimuliwa walikuwa mitume gani kutoka mahali gani na kwanini habari zao hazikusimuliwa nk, -- ni maswali ya aina hiyo yanayotakiwa kufanyiwa kazi na mtu mwenye AKILI.
Sasa watu wenye akili kwanza hufanya haya yafuatayo, nitakuuliza hizi habari umezipata, na na nitakwambia yale aliyo yasema mwanachuoni mbora Muhammad bin Sirin, habari hizi una zipata katika kitabu "Muqadima fi Sahih Muslim" cha Imam Muslim bin Hajaaj Allah amrahamu. Na mimi nakuuliza hivi tutajie wapokezi wa hii habari ya Mja wa Allah Luqman mwenye Hekima.Angalia "commentary" kumuhusu Seydna, (Mtawa, Sage) Mchamungu Luqman yanayotolewa na Watu wenye akili ili na wewe ujifunze na uondokane na Ububusa (dogmatism).
Hahaahaaaaaa
hahaaaaaaaaaaaa
hahaaaaaaaaaaaaaaa
hahahahaaaaaaaaaaaaa
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
teh teh teh teh teh teh teh teh
nimecheka sana hakika umejua kunifurahisha kwa huu upomoma uliouandika ni dhahiri shahiri hizo ndo akili zako complete nyie ndo wale wale wanaoziba kwa wenzao ilhari kwao kunamatundu makubwa mnooooo
Tunakazi ya kuzipeleka na akili za watu uchumi wa Kati
Hata Firauni alicheka kicheko cha aina hiyo pale Nabii Musa (as) alipomuambia kwamba yeye ni Mtume ametumwa kwake na Allah, Firauni akakebehi na kumwambia waziri wake Hammana amjengee mnara mrefu ili akamuone Mungu wa Musa.
Hebu soma hiyo aya na uone kama wenye elimu (akili) ni sawa na wasiokuwa na akili, (bila akili hupati elimu).
View attachment 1513123
na nitakwambia yale aliyo yasema mwanachuoni mbora Muhammad bin Sirin, habari hizi una zipata katika kitabu "Muqadima fi Sahih Muslim" cha Imam Muslim bin Hajaaj Allah amrahamu. Na mimi nakuuliza hivi tutajie wapokezi wa hii habari ya Mja wa Allah Luqman mwenye Hekima.
Hili kwangu rahisi sana, sababu huwa nakujua ni mtu wa kukimbia maswali, wewe nithibitishie kisha nakuwekea ushahidi.Na wewe kiokote kutoka kwa huyo mwanazuoni wako, thibitisha
Safi kabisa, kweli kabisa Qur'aan inatutaka tufikiri tena sana, ila tufikiri kwa usahihi, na hakuna tafakari mbele ya nususi za kiseheria yaani Qur'aan na Hadithi, Qur'aan inapo hukumi jambo na kuliweka wazi hapo akili yako inatakiwa kufata jambo hilo na kulifanyia kazi kwani hakuna kinyume chake. Qur'aan iliposema ya kuwa kuna habari za mitume wengine mtume hajafunuliwa ujue hakuna anae zijua habari hizo ila Allah peke yake, na akili yako inatakiwa ifanye na kukiri utukufu wa Allah.Quran (Allah) anatutaka tutumie akili katika kutafakari maudhui aya zake, wewe kwa ujinga na ububusa wako unadhani akili ulizopewa ni kwa ajili ya kukariri aya za Quran na kuvukia barabara tu, akili uliyonayo ni ya "Majini-paka" na "Majini- nyoka", akili yako imelala doro.
Qur'aan inataka wenye kutumia akili na kufanya tadaburi na haiwataki wenye akili, kwani hata wewe una akili ila bado ni zwa zwa na hufikirii kwa usahihi, hakuna aya inayosema Qur'aan inataka wenye akili, bali wenye kutumia akili na kutafakari.QUR'AN inahitaji wetu wenye akili na sio Mabubusa.
Nacheka sana, usipate shida, weka ushahidi bwana mdogo.Eti kwa mawazo yako ya hovyo; kipindi nyimati za mashariki ya kati wamepewa manabii kuwaongoza kumcha Allah huku Africa na sehemu zingine za dunia hakukuwa na watu waliohitaji Muongozo kutoka kwa Allah!!!??--- a shere stupid imbecility, sisi waafrika tulikuwa na laana gani kipindi hicho tukakosa neema ya manabii???, je tulikuwa kama wanyama au zama hizo huku hakukuwepo na watu ??!!.
Wenzako Mayahudi walipotea kwa sababu ya kuuliza uliza maswali, siyo tu maswali bali walikuwa wana uliza maswali ya kijinga kama haya uliyo uliza wewe na yanao nyesha huujui Uislamu, kwahiyo hatuangalii kuuliza maswali bali tunaangalia unauliza nini na je umepatia kuuliza hayo maswali, kwa ujinga wako wewe unaweza kuuliza "Je yule mbwa wa vijana wa Pangoni, alikuwa jike au dume au alikuwa ana rangi gani ?" kisha ujione kwamba una akili, aisee Qur'aan haitutaki tuhoji ujinga bali tuhoji vya maana.Mjinga hawezi kujiuliza hayo maswali bali mwenye akili ya kutafakari maneno ya Allah.
Safi.Allah akuongize, akuondolee kibri cha "ujuaji" unyenyekee kwake ukilia kwa machozi huku ukiomba dua hii; "Ee mola wangu mimi sijui kitu nawe ndiye mjuzi wa kila kitu nizidishie elimu na uniruzuku ufahamu".
Kwa mantki iyo hakuna chizi wa kibaiolojia anaeweza uridhi ufalme wa allah ?
Safi kabisa, kweli kabisa Qur'aan inatutaka tufikiri tena sana, ila tufikiri kwa usahihi, na hakuna tafakari mbele ya nususi za kiseheria yaani Qur'aan na Hadithi, Qur'aan inapo hukumi jambo na kuliweka wazi hapo akili yako inatakiwa kufata jambo hilo na kulifanyia kazi kwani hakuna kinyume chake. Qur'aan iliposema ya kuwa kuna habari za mitume wengine mtume hajafunuliwa ujue hakuna anae zijua habari hizo ila Allah peke yake, na akili yako inatakiwa ifanye na kukiri utukufu wa Allah.
Naona unarudia utoto na ujinga ule ule.Matumizi ya akili ni kutaka kujua je hao mitume ambao mtume hakuambiwa habari zao ni mitume gani??, na walikuja wapi?? Kwa kazi gani??, usipojiuliza maswali hayo na mengine kama hayo wewe ni mfu wa akili, huna tofauti na punda abebaye vitabu asijue ndanimo kuna nini.
Ajabu mzee, huwezi kukuta adhana inapigwa kwa kiswahili
Qur'aan inataka wenye kutumia akili na kufanya tadaburi na haiwataki wenye akili, kwani hata wewe una akili ila bado ni zwa zwa na hufikirii kwa usahihi, hakuna aya inayosema Qur'aan inataka wenye akili, bali wenye kutumia akili na kutafakari.
Qur'aan inataka wenye kutumia akili na kufanya tadaburi na haiwataki wenye akili, kwani hata wewe una akili ila bado ni zwa zwa na hufikirii kwa usahihi, hakuna aya inayosema Qur'aan inataka wenye akili, bali wenye kutumia akili na kutafakari.