kaisiki kalungi
Member
- Aug 4, 2015
- 46
- 45
DINI katika mahusiano zina effect kubwa sana hasa mkiwa dini tofauti
Unatakiwa kuangalia mbali unapompenda mtu sio hapo mlipo tu mtaoana mtazaa hao watoto watafuata imani ya nani
Hapo ndo ugomvi huanza
Mimi nmeexperience wazazi wangu kua dini tofauti imeniaffect sana coz ilibidi nijibatize mwenyewe kimya kimya kuhofia mzee akijua itakua noma
Mi binafsi nataka wa imani yangu coz siwezi badili dini coz of kuolewa na bomani no
Na kuhusu kabila kuna makabila kwangu mm no mungu anisamehe kwa hilo
Ila siwez kuvumilia ukatili HELL NO
Mahusiano ambayo yatakua ndoa inabidi mtu utumie sana akili na sio moyo ,mioyo inatupumbaza sana
Ndoa si kupendana tu kuna vitu vingi vya kuangalia mfano

- dini ,(kuna dini inaruhusu wake wengi je uko tayari kwa hilo)
- kabila,
- msimamo wa mtu,(kuna wengine wanaona wanawake km watumwa hawana say so hataki ufanye kazi ,ukae tu ulee watoto ,hyo ni shida maisha ya cku hz ni kusaidiana)
- elimu(kuna watu wameolewa na waliomaliza darasa la saba nishida sio waelewa coz shule hamna hata kitu kidogo anaona big deal japo si wote),
- kipato(hata km kwa sasa hana je ana fanya jitihada gani kujikwamua au karidhika na hyo hali,asikudanganye mtu hela ndo kila kitu ndo mana ikifika asubuhi unaachia shuka unawahi kutafuta )